Upo sahihi mkuu.Its not easy like you think mkuu.
Nina miaka 3 nasoma hiki kirusi till now nashangaa kwanini kuna watu wana potosha uma kwa kusema kuna dawa
Ukiwa kwenye ma NGOs ni maisha ya mguu nje mguu ndani muda wowote hakutabirikiPoleni wandugu ndio shida ya NGOs siku mleta fedha akisema NO inakuwa basi
Niliwah omba kazi MDH Yule HR akaniita akasema sikuwa na sifa za ile kazi Ila ameona CV yangu imemvutia. Akiwa na kazi za uzoefu wangu ataniita. Had kesho hajawah niitaUkiwa kwenye ma NGOs ni maisha ya mguu nje mguu ndani muda wowote hakutabiriki
πππ Dawa zitauzwa pesa ndeeefu, Na ATM zetu zinafyonza pesa mara moja TU, mara ya pili inatema kadiKwahyo tusinyanduane kisa kuogopa dawa hakuna..
πππππ
Oya umeongea kimasihara ila ndo ukweli uo saiv ni vzr utumie condom.Wanaopenda kuloweka mbichi waione hii,siku zinakuja dozi ya siku thelathini itauzwa laki na ukute uliuokota Kimboka Buguruni kwa wale malaya wachafu wa buku tatu tatu na wewe mwenyewe kipato chako kwa siku hakizidi 10K.
Hapo utakutana na mlango wa kaburi mapema sana yaani hata miezi minne wewe hutoboi.
Kiponde na jiwe kitulie la sivyo bei ya ARVs itakufilis!Kichwa cha chini kikishika usukani kisawasawa cha juu hubaki kuwa mtazamaji
Hoya itakuwa kaz.πππ Dawa zitauzwa pesa ndeeefu, Na ATM zetu zinafyonza pesa mara moja TU, mara ya pili inatema kadi
Condom ya nini mzee zinapasukaga hizo, suluhisho ni kujikunja bafuni kumaliza mwendo ππOya umeongea kimasihara ila ndo ukweli uo saiv ni vzr utumie condom.
Acha hapo ukiwambia watukane sasa mabeberu.Hatari Sana hii, mtu mmoja ameshikilia hatma ya mamilioni ya binadamu duniani..
Mpunguze na ngono zembe misaada ishaanza kupunguzwa
Kweli ni wakati sasa na wao watumikishe mayele yaoNi sahihi kabisa.
Tuna dawa za miti shamba za kutosha, mapori ya kutosha bila kuwasahau Botanists wetu, wapo wa kutosha.
Inabidi sasa waanze kufanya trials mdogo mdogo kwa haya magonjwa nyemelezi kabla ya kukiangamiza kirusi.
Naunga mkono hojaHiyo misaada atawapa mama yenu Samia.
Maana daraja likijengwa utasikia mama ametoa bilioni kadhaa ujenzi wa daraja, huyo mama ananunua kila goli milioni 5-10 Simba na Yanga wakifunga.
Nimewahi kuuliza sana humu hizo pesa anatoa wapi na analipwa mshahara kiasi gani nikaishia kujibiwa mama anazo pesa nyingi maana hata Magufuli alikuwa anagawa mtaani pesa zote ni za rais.
Hivyo dawa na vitu vingine vyote basi awanunulie mama yenu Samia msitusumbue.
Nyanduaneni kwa simile.Kwahyo tusinyanduane kisa kuogopa dawa hakuna..
πππππ