Profesa Tibaijuka: Trump kusitisha misaada ARVs zitaadimika Afrika. African Union iitishe kikao maalum kuweka mkakati

Profesa Tibaijuka: Trump kusitisha misaada ARVs zitaadimika Afrika. African Union iitishe kikao maalum kuweka mkakati

Its not easy like you think mkuu.
Nina miaka 3 nasoma hiki kirusi till now nashangaa kwanini kuna watu wana potosha uma kwa kusema kuna dawa
Upo sahihi mkuu.
Je, inawezekana ni kwasababu ya sifa yake ya kujibadili umbo lake?

Kama kukiua imeshindikana, hivi hakuna namna ya kufanya kwa CD4 ili kukipumbaza hiki kirusi kisizishambulie?

Tumekichoka.
 
Ukiwa kwenye ma NGOs ni maisha ya mguu nje mguu ndani muda wowote hakutabiriki
Niliwah omba kazi MDH Yule HR akaniita akasema sikuwa na sifa za ile kazi Ila ameona CV yangu imemvutia. Akiwa na kazi za uzoefu wangu ataniita. Had kesho hajawah niita
Bt naikubali Sana MDH ni moja ya sehemu ambazo natamani siku moja nifanye kazi
 
Wamarekani walishamuona Trump wakat wa uongozi wake wa nyuma namna alivyokuwa lakini bado wamemchagua tena.
Sasa wote tunakinywea kikombe. Akina aunty John na akina anko maria wote tutaguswa
 
Wanaopenda kuloweka mbichi waione hii,siku zinakuja dozi ya siku thelathini itauzwa laki na ukute uliuokota Kimboka Buguruni kwa wale malaya wachafu wa buku tatu tatu na wewe mwenyewe kipato chako kwa siku hakizidi 10K.

Hapo utakutana na mlango wa kaburi mapema sana yaani hata miezi minne wewe hutoboi.
Oya umeongea kimasihara ila ndo ukweli uo saiv ni vzr utumie condom.
 
Hapo ndio ninapomshukuru Trump, yaani misaada imesimamishwa kwa miezi mitatu ili nchiyake ifanye tathmini kuona kama inanufaika na matokeo ya misaada hiyo. Kwa maana kwamba America hatoi msaada wa bure, Hata kama akikupa ARV ujue kuna anachonufaika nacho, akiona hakimlipi anakata msaada huo.
Shida ni nchi zetu hizi zilizolemazwa na kuombaomba kwa wazungu na kuna nchi za kiafrika zinaamini bila wazungu hazinauwezo wa kujiendesha.
Uwezo tunao ila hatutaki kuchukuliana hatua: wananchi wanajua hatua za kuwachukulia viongozi wazembe na wabadhilifu ila hawachukui wakiamini viongozi hao wanarudisha hisani kwa wananchi na viongozi nao hawawajibiki kwa wananchi wakijua hata wasipowajibika hakuna cha kuwawajibisha.
Jamani tuamkeni wazungu wanatuambia hakuna cha bure.
 
Hiyo misaada atawapa mama yenu Samia.

Maana daraja likijengwa utasikia mama ametoa bilioni kadhaa ujenzi wa daraja, huyo mama ananunua kila goli milioni 5-10 Simba na Yanga wakifunga.

Nimewahi kuuliza sana humu hizo pesa anatoa wapi na analipwa mshahara kiasi gani nikaishia kujibiwa mama anazo pesa nyingi maana hata Magufuli alikuwa anagawa mtaani pesa zote ni za rais.

Hivyo dawa na vitu vingine vyote basi awanunulie mama yenu Samia msitusumbue.
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom