RIP VC wangu, aliimudu Open University vizuri! . Pole wafiwa.Aliyewahi kuwa Vice Chancellor wa Chuo kikuu Huria cha Tanzania Prof T Mbwette alifariki dunia jana jioni katika hospitali ya Aghakan.
Prof Mbwette alikuwa mwanataaluma mahiri katika fani ya uhandisi. Kabla ya kuwa VC Open University alifundisha kwa miaka mingi UDSM.
Wengine mtakumbuka viti viitwavyo vimbwete vyuoni. Yeye ndiye alibuni na kuanzisha viti hivi akiwa mhadhiri UDSM.
Apumnzike kwa Amani.
Umelogwa na laana. Toa pole kwanza kabla ya kejeliMwisho wake umefika amelala akingoja marejeo ya Kristo mara ya pili ambapo ni mambo mawili tu kupata uzima wa milele au mauti ya milele, Bwana atupe hekima tulio hai kuzihesabu siku zetu
Mkuu kuna kejeli hapo? Au uelewa wangu mdogo siku hizi?Umelogwa na laana. Toa pole kwanza kabla ya kejeli
Mbona umeandika kinyume mkuu? Ni mbwete kaacha vimbwetaHii Agakhan hiii!! Yaani wengi wanaolazwa hapo wanakufa Why? Mmarangu Coach, Mze Makoi wa TRC Enzi hiyo, Mke wa Tale na Leo Prof Mbwete!! RIP Professor. Umetuachia urithi wa ViMbwete
Hadi sasa hujajua tatizo lilipo?Proff mashuhuli amefariki uzi hautembei kabisa ume-stuck...
juzi amefariki mke wa Tale uzi ulikuwa unakimbia speed 120.......
sijui tatizo liko wp!?
Proff mashuhuli amefariki uzi hautembei kabisa ume-stuck...
juzi amefariki mke wa Tale uzi ulikuwa unakimbia speed 120.......
sijui tatizo liko wp!?
Sentensi hii ukiwa umefiwa na ndugu yako utaipenda? "mbapo ni mambo mawili tu kupata uzima wa milele au mauti ya milele, Bwana atupe hekima tulio hai kuzihesabu siku zetu" Yaishe kwaheriMkuu kuna kejeli hapo? Au uelewa wangu mdogo siku hizi?
Atakumbukwa sasa na sisi wa FoE.. ingawa vimbwete alivianzisha baada ya mimi kumaliza...Aliyewahi kuwa Vice Chancellor wa Chuo kikuu Huria cha Tanzania Prof T Mbwette alifariki dunia jana jioni katika hospitali ya Aghakan.
Prof Mbwette alikuwa mwanataaluma mahiri katika fani ya uhandisi. Kabla ya kuwa VC Open University alifundisha kwa miaka mingi UDSM.
Wengine mtakumbuka viti viitwavyo vimbwete vyuoni. Yeye ndiye alibuni na kuanzisha viti hivi akiwa mhadhiri UDSM.
Apumnzike kwa Amani.
Daah
Prof Mtafiti buriani
Polen sana team Vimbwete
Aliwahi kufanya research kuhusu bottled water na kugundua si salama kwa watumiaji, Walipwa kodi na mafanyabiashara hiyo yalikasirika na kuhakikisha wanaizima
Hakuwa jalalani maisha yake yote
Huyu ni Nyerere wa Open University of Tanzania
Poleni sana
Kumbe kuna Maprofesa wako jalalani kweli?Daah
Prof Mtafiti buriani
Polen sana team Vimbwete
Aliwahi kufanya research kuhusu bottled water na kugundua si salama kwa watumiaji, Walipwa kodi na mafanyabiashara hiyo yalikasirika na kuhakikisha wanaizima
Hakuwa jalalani maisha yake yote
Huyu ni Nyerere wa Open University of Tanzania
Poleni sana
Nilishangaa baada ya kutoa utafiti TBS wakaja harakaharaka wakampingaDaah
Prof Mtafiti buriani
Polen sana team Vimbwete
Aliwahi kufanya research kuhusu bottled water na kugundua si salama kwa watumiaji, Walipwa kodi na mafanyabiashara hiyo yalikasirika na kuhakikisha wanaizima
Hakuwa jalalani maisha yake yote
Huyu ni Nyerere wa Open University of Tanzania
Poleni sana
RIP Prof. Mbwete.Aliyewahi kuwa Vice Chancellor wa Chuo kikuu Huria cha Tanzania Prof T Mbwette alifariki dunia jana jioni katika hospitali ya Aghakan.
Prof Mbwette alikuwa mwanataaluma mahiri katika fani ya uhandisi. Kabla ya kuwa VC Open University alifundisha kwa miaka mingi UDSM.
Wengine mtakumbuka viti viitwavyo vimbwete vyuoni. Yeye ndiye alibuni na kuanzisha viti hivi akiwa mhadhiri UDSM.
Apumnzike kwa Amani.
Sentensi hii ukiwa umefiwa na ndugu yako utaipenda? "mbapo ni mambo mawili tu kupata uzima wa milele au mauti ya milele, Bwana atupe hekima tulio hai kuzihesabu siku zetu" Yaishe kwaheri
RIP Prof. Mbwete.
Nashauri TATAKI UDSM waliingize neno VIMBWETE kwenye Kamusi ya Kiswahili sanifu kama namna mojawapo ya kumuenzi na kuendelea kumkumbuka Profesa huyu mahiri. Popote pale ndani ya nchi yetu panapopatikana viti vya kukalia wanafunzi vya aina hiyo, basi vijulikane rasmi kwa jina hilo kwa Kiswahili Tanznia nzima
Hawawezi kupuuza hilo nina uhakika. Inaweza ikashindikana tu kama labda kikanuni, kuna misingi itakuwa imekiukwa kitaaluma wakifanya hivyoWazo zuri sana!
Hata km TATAKI watajitoa ufahamu na kupuuza ushauri wako... bado wanavyuo mbali mbali watamkumbuka coz anaishi ndani ya mioyo yao kwa innovation yake! Ameacha legacy.