RIP VC wangu, aliimudu Open University vizuri! . Pole wafiwa.Aliyewahi kuwa Vice Chancellor wa Chuo kikuu Huria cha Tanzania Prof T Mbwette alifariki dunia jana jioni katika hospitali ya Aghakan.
Prof Mbwette alikuwa mwanataaluma mahiri katika fani ya uhandisi. Kabla ya kuwa VC Open University alifundisha kwa miaka mingi UDSM.
Wengine mtakumbuka viti viitwavyo vimbwete vyuoni. Yeye ndiye alibuni na kuanzisha viti hivi akiwa mhadhiri UDSM.
Apumnzike kwa Amani.
Sidhani kama ni changamoto ya upumuaji.