TANZIA Profesa Tolly Mbwette afariki dunia

Aliyewahi kuwa Vice Chancellor wa Chuo kikuu Huria cha Tanzania Prof T Mbwette alifariki dunia jana jioni katika hospitali ya Aghakan.

Prof Mbwette alikuwa mwanataaluma mahiri katika fani ya uhandisi. Kabla ya kuwa VC Open University alifundisha kwa miaka mingi UDSM.

Wengine mtakumbuka viti viitwavyo vimbwete vyuoni. Yeye ndiye alibuni na kuanzisha viti hivi akiwa mhadhiri UDSM.

Apumnzike kwa Amani.
RIP VC wangu, aliimudu Open University vizuri! . Pole wafiwa.

Sidhani kama ni changamoto ya upumuaji.
 
Hii Agakhan hiii!! Yaani wengi wanaolazwa hapo wanakufa Why? Mmarangu Coach, Mze Makoi wa TRC Enzi hiyo, Mke wa Tale na Leo Prof Mbwete!! RIP Professor. Umetuachia urithi wa ViMbwete
Mbona umeandika kinyume mkuu? Ni mbwete kaacha vimbweta
 
Kumbe hivyo vimbweta ndio asili yake hiyo, halafu ni vimbweta sio vimbwete, haviitwagi hivyo
 
Mkuu kuna kejeli hapo? Au uelewa wangu mdogo siku hizi?
Sentensi hii ukiwa umefiwa na ndugu yako utaipenda? "mbapo ni mambo mawili tu kupata uzima wa milele au mauti ya milele, Bwana atupe hekima tulio hai kuzihesabu siku zetu" Yaishe kwaheri
 
Aliyewahi kuwa Vice Chancellor wa Chuo kikuu Huria cha Tanzania Prof T Mbwette alifariki dunia jana jioni katika hospitali ya Aghakan.

Prof Mbwette alikuwa mwanataaluma mahiri katika fani ya uhandisi. Kabla ya kuwa VC Open University alifundisha kwa miaka mingi UDSM.

Wengine mtakumbuka viti viitwavyo vimbwete vyuoni. Yeye ndiye alibuni na kuanzisha viti hivi akiwa mhadhiri UDSM.

Apumnzike kwa Amani.
Atakumbukwa sasa na sisi wa FoE.. ingawa vimbwete alivianzisha baada ya mimi kumaliza...
 
Daah

Prof Mtafiti buriani

Polen sana team Vimbwete

Aliwahi kufanya research kuhusu bottled water na kugundua si salama kwa watumiaji, Walipwa kodi na mafanyabiashara hiyo yalikasirika na kuhakikisha wanaizima

Hakuwa jalalani maisha yake yote

Huyu ni Nyerere wa Open University of Tanzania

Poleni sana

Mkuu embu funguka zaidi hapo kwa maji chupa.

Yana ubaya gani?
 
Daah

Prof Mtafiti buriani

Polen sana team Vimbwete

Aliwahi kufanya research kuhusu bottled water na kugundua si salama kwa watumiaji, Walipwa kodi na mafanyabiashara hiyo yalikasirika na kuhakikisha wanaizima

Hakuwa jalalani maisha yake yote

Huyu ni Nyerere wa Open University of Tanzania

Poleni sana
Kumbe kuna Maprofesa wako jalalani kweli?
 
Daah

Prof Mtafiti buriani

Polen sana team Vimbwete

Aliwahi kufanya research kuhusu bottled water na kugundua si salama kwa watumiaji, Walipwa kodi na mafanyabiashara hiyo yalikasirika na kuhakikisha wanaizima

Hakuwa jalalani maisha yake yote

Huyu ni Nyerere wa Open University of Tanzania

Poleni sana
Nilishangaa baada ya kutoa utafiti TBS wakaja harakaharaka wakampinga
 
Aliyewahi kuwa Vice Chancellor wa Chuo kikuu Huria cha Tanzania Prof T Mbwette alifariki dunia jana jioni katika hospitali ya Aghakan.

Prof Mbwette alikuwa mwanataaluma mahiri katika fani ya uhandisi. Kabla ya kuwa VC Open University alifundisha kwa miaka mingi UDSM.

Wengine mtakumbuka viti viitwavyo vimbwete vyuoni. Yeye ndiye alibuni na kuanzisha viti hivi akiwa mhadhiri UDSM.

Apumnzike kwa Amani.
RIP Prof. Mbwete.
Nashauri TATAKI UDSM waliingize neno VIMBWETE kwenye Kamusi ya Kiswahili sanifu kama namna mojawapo ya kumuenzi na kuendelea kumkumbuka Profesa huyu mahiri. Popote pale ndani ya nchi yetu panapopatikana viti vya kukalia wanafunzi vya aina hiyo, basi vijulikane rasmi kwa jina hilo kwa Kiswahili Tanznia nzima
 
Sentensi hii ukiwa umefiwa na ndugu yako utaipenda? "mbapo ni mambo mawili tu kupata uzima wa milele au mauti ya milele, Bwana atupe hekima tulio hai kuzihesabu siku zetu" Yaishe kwaheri

Hujaelewa tuu mwenzio kaandika kiimani hapo hakuna kejeli
Labda uko upande wa pili wa dini,hajakejelichochote hapo ni lugha tu hujaielewa mkuu
 
Wazo zuri sana!
Hata km TATAKI watajitoa ufahamu na kupuuza ushauri wako... bado wanavyuo mbali mbali watamkumbuka coz anaishi ndani ya mioyo yao kwa innovation yake! Ameacha legacy.
RIP Prof. Mbwete.
Nashauri TATAKI UDSM waliingize neno VIMBWETE kwenye Kamusi ya Kiswahili sanifu kama namna mojawapo ya kumuenzi na kuendelea kumkumbuka Profesa huyu mahiri. Popote pale ndani ya nchi yetu panapopatikana viti vya kukalia wanafunzi vya aina hiyo, basi vijulikane rasmi kwa jina hilo kwa Kiswahili Tanznia nzima
 
Wazo zuri sana!
Hata km TATAKI watajitoa ufahamu na kupuuza ushauri wako... bado wanavyuo mbali mbali watamkumbuka coz anaishi ndani ya mioyo yao kwa innovation yake! Ameacha legacy.
Hawawezi kupuuza hilo nina uhakika. Inaweza ikashindikana tu kama labda kikanuni, kuna misingi itakuwa imekiukwa kitaaluma wakifanya hivyo
 
Back
Top Bottom