ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,856
Yamenifurahisha sana, kwa sababu no one deserves torture!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yamenifurahisha sana, kwa sababu no one deserves torture!
Zitt Kabw atakuwa analiwa kibog, Hafai Kabisa kuwa Kiongozi wa Umma hata wa Familia yake. Haiwezekani eti Mwanaume kuwa na tabia za kike. Ningekuwa Soja wewe ningekurudisha kwenu BurundiUkiumwa na nyoka hata ukiguswa na jani tu lazima uwe na wasiwasi mnamlaumu zito bure tu badala ya kupeleka lawama kwa aliyecreate hayo mazingira ya watu kuwa na hofu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eheeeeeèee hapo umelengaKama DC Kasesela na kumzushia Dr Salim kavuta!
Ni kweli kakanusha kutekwa lakini siyo lazima kuyaamini maneno yake kwani yanaonekani si maneno yanatoka moyoni mwake, mzee Assad atazeeka vibaya kwa kusema uongo ili kuwafurahisha waliomfundisha aongee hivyo
Kisalawe mbona mbali sana,kuna maeneo ya hapa Dar ukikaa baadhi ya sehemu unakosa network,usishangae kwa hiloYaani Kisarawe panakosa network , hapana Prof.
Wewe peke yako wanzako ndiyo mnaona kuwa ni tukio hewa lakini wengine wengi wanajua kuwa Assad alitekwa lakini kaamua kukanusha ili kuficha aibu yenu na pengine katishwa sana
Na mwisho kapigilia msumari, "sio jukumu langu Mimi kuilinda katiba"Kuna maelezo mengi sana ameyatoa kwa lugha ya kifucho katika hii clip. Mleta mada ni kati ya watu ambao hamkupaswa kuielewa ila tunashukuru hukuishia ktoielewactu bali ukaamua kutuletea.
Ungeielewa usingeileta.
Mimi namuamini Prof.Tafuta kiongozi wa Tanzania Muslim Professionals (Tampro) cheki nae atakuambia walikuwa naye au laa.
Its an alibi that can be checked..
Hebu fikiria amesema alikuwa kwenye mkutano wa Chama cha Waislamu wenye Professions zao.. maana yake sio mtu mmoja walikuwa probably more than 20 watafute uwaulize usianze kupiga Ramli zako hapa. Angekuambia nilikuwa kwa Jumanne tungesema huyo J4 kapangwa lakini anasema alikuwa kutoa mada kwenye mkutano
Kama huyo mprofeseri ni mkweli kwa nini sasa anasema hajatekwa nyie hamumuamini ?Kama ni mkweli basi aminini hajatekwa na kazito ni kaongoAssad ni Mkweli sana sana
Kama angekuwa mpindisha maneno basi mpaka muda huu angekuwa bado ni CAG
Kama huyo mprofeseri ni mkweli kwa nini sasa anasema hajatekwa nyie hamumuamini ?Kama ni mkweli basi aminini hajatekwa na kazito ni kaongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mfano wewe ulitaka wakafanyie wapi huo mkutano wao?Mimi namuamini Prof.
Lakini najiuliza iweje watu wazito kama hao (Tz Muslim Professionals) kati ya maeneo yoote ya Kisarawe wakafanyie mkutano kwenye kijiji ambacho kinakosa network siku nzima?
Inamaanisha kijiji kama hicho umeme pia hakuna wala internet, wala wao wakitaka kupiga simu pia hawataweza (na mkutano ni wa siku 3 mfululizo ila prof kakaa siku 1 tu)
Ina maana hawana hela ya kufanyia kwenye kumbi zoote Kisarawe?
Sent using Jamii Forums mobile app