Professor Assad Asimulia alipokuwa

Professor Assad Asimulia alipokuwa

Lawama kwa Magu na genge lake la utekaji. Wameweka hofu ktk jamii.
 
Sasa hili Lirundi lilizushia nini. Hivi Wanasubiria nini kumkamata. Huyu atakuwa amemiss kufanywa. Haiwezekani kazi yake kuropoka tu
 
Ukiumwa na nyoka hata ukiguswa na jani tu lazima uwe na wasiwasi mnamlaumu zito bure tu badala ya kupeleka lawama kwa aliyecreate hayo mazingira ya watu kuwa na hofu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Zitt Kabw atakuwa analiwa kibog, Hafai Kabisa kuwa Kiongozi wa Umma hata wa Familia yake. Haiwezekani eti Mwanaume kuwa na tabia za kike. Ningekuwa Soja wewe ningekurudisha kwenu Burundi
 
Ni kweli kakanusha kutekwa lakini siyo lazima kuyaamini maneno yake kwani yanaonekani si maneno yanatoka moyoni mwake, mzee Assad atazeeka vibaya kwa kusema uongo ili kuwafurahisha waliomfundisha aongee hivyo

Kwa hiyo ulitaka asee ukweli upi?? Ok..alitekwa kwa hiyo mnasemaje??!!!.
 
Kuna maelezo mengi sana ameyatoa kwa lugha ya kifucho katika hii clip. Mleta mada ni kati ya watu ambao hamkupaswa kuielewa ila tunashukuru hukuishia ktoielewactu bali ukaamua kutuletea.
Ungeielewa usingeileta.
 
Professor angetaka kutuhibitishia uprofesa wake angesema ifuatavyo;-
(1) huu mnaouona mwili Wa professor Assad ni kama miili mnayookotaga cocobeach na mto ruvu kwenye viroba kwa hiyo nendeni mkaseme mwili umerudi toka kisarawe ila pro- holly Assad bado wanayo wenyewe
(2) sidhani kama hata miili ile ya mto ruvu na cocobeach kwenye viroba huwa mnaihoji imefikaje hapo au ilikuwa wapi kinachojibu ni holly
(3) nendeni mkaandike mwili umeonekana bila holly ya professor Assad
 
Wewe peke yako wanzako ndiyo mnaona kuwa ni tukio hewa lakini wengine wengi wanajua kuwa Assad alitekwa lakini kaamua kukanusha ili kuficha aibu yenu na pengine katishwa sana

Inaeleka mna matatizo makubwa ya kisaikolojia...kwanini mko hivyo???!!! why can't you grow up in your thinking??!! Alikanusha "kutekwa" ili eti afiche aibu???!! How and why???!!! Ni hatari kubwa kuwa na watu wa aina hii ndani ya nchi ambao muda wote wanaombea yawepo matukio ya kinachoitwa ''kutekwa' ...It is a shame...disgusting ...Ni utoto uliopitiliza...
 
Kuna maelezo mengi sana ameyatoa kwa lugha ya kifucho katika hii clip. Mleta mada ni kati ya watu ambao hamkupaswa kuielewa ila tunashukuru hukuishia ktoielewactu bali ukaamua kutuletea.
Ungeielewa usingeileta.
Na mwisho kapigilia msumari, "sio jukumu langu Mimi kuilinda katiba"
 
Tafuta kiongozi wa Tanzania Muslim Professionals (Tampro) cheki nae atakuambia walikuwa naye au laa.
Its an alibi that can be checked..
Hebu fikiria amesema alikuwa kwenye mkutano wa Chama cha Waislamu wenye Professions zao.. maana yake sio mtu mmoja walikuwa probably more than 20 watafute uwaulize usianze kupiga Ramli zako hapa. Angekuambia nilikuwa kwa Jumanne tungesema huyo J4 kapangwa lakini anasema alikuwa kutoa mada kwenye mkutano
Mimi namuamini Prof.
Lakini najiuliza iweje watu wazito kama hao (Tz Muslim Professionals) kati ya maeneo yoote ya Kisarawe wakafanyie mkutano kwenye kijiji ambacho kinakosa network siku nzima?
Inamaanisha kijiji kama hicho umeme pia hakuna wala internet, wala wao wakitaka kupiga simu pia hawataweza (na mkutano ni wa siku 3 mfululizo ila prof kakaa siku 1 tu)
Ina maana hawana hela ya kufanyia kwenye kumbi zoote Kisarawe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DJkus, Mimi namuamini Prof.

Kama huyo mprofeseri ni mkweli kwa nini sasa anasema hajatekwa nyie hamumuamini ?Kama ni mkweli basi aminini hajatekwa na kazito ni kaongo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sahihi

Prof Hakutekwa

Zitto anataka kumtumia Prof kwa malengo yake ya kisiasa

Prof hana mambo ya Makundi kabisa hana time nayo kwa kuwa anajua ya kizushi zushi
 
Hii ni aibu kwa makampuni ya simu , haya lifanyieni kazi hili suala la mtandao kukosekana Kisarawe.
Pelekeni timu ya wataalamu kuona namna ya kutatua hii changamoto, si mnaona taharuki iliyotokea ,haya kazi kwenu.
 
Mimi namuamini Prof.
Lakini najiuliza iweje watu wazito kama hao (Tz Muslim Professionals) kati ya maeneo yoote ya Kisarawe wakafanyie mkutano kwenye kijiji ambacho kinakosa network siku nzima?
Inamaanisha kijiji kama hicho umeme pia hakuna wala internet, wala wao wakitaka kupiga simu pia hawataweza (na mkutano ni wa siku 3 mfululizo ila prof kakaa siku 1 tu)
Ina maana hawana hela ya kufanyia kwenye kumbi zoote Kisarawe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mfano wewe ulitaka wakafanyie wapi huo mkutano wao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom