TANZIA Professor James Shaba afariki dunia. Alifanyia postmortem mwili wa Hayati Sokoine

RIP Mazula alikuwa member wa miaka mingi wa gymkhana club, siku moja moja akicheza golf na marafiki zake.

Miaka michache kabla hajafariki alikuwa akishinda pale Peugeot mbele ya bushtrekker nadhani alikuwa na ofisi katika mojawapo ya yale majengo.
 
RIP Mazula alikuwa member wa miaka mingi wa gymkhana club, siku moja moja akicheza golf na marafiki zake.

Miaka michache kabla hajafariki alikuwa akishinda pale Peugeot mbele ya bushtrekker nadhani alikuwa na ofisi katika mojawapo ya yale majengo.
Club kongwe hiyo wazee ,watu maarufu wote hukutana hapo

Ova
 
Mazingira ya kufanya Kazi ni magumi jamani hacheni kuwasema madakitari kuwa ni walevi,

Kama wakiamua kuyasema yanayo wasibu kazin, basi watu wangekata tamaa kusoma mambo ya AFYA
Muhimbili yenyewe wale surgeon wote nnaowajuwa ni watu wa kilevi
Hiyo kawaida kwao

Ova
 
oooh kumbe!!
 
Ila Dingi alikuwa mtu wa kilaji sana na kwenye taaluma yake alikuwa vizuri mno.
Mkuu kwani kilaji ni vibaya kama alikua anakunywa baada ya kazi na kama haikuathili utendaji wake wa kazi...

Maana pombe huleta uzembe na uvivu Kwa watu wengi ambao wana over drink

Huwa napendaga sana wanataaluma walio someaga marekani Huwa wanakuaga very unique na special sana ki utendaji...

RIP
Prof.
 
Duh! Hapo unaweza kukuta Mtoto Mtu anasoma historia ya Mama yake
 
Hivi umenisoma vizuri au umekurupuka tu. Ndiyo maana mnafeli mitihani kiboya.
 
Nasikia alikua akisema 'wanasema ni ajali ya gari!!..nimejitoa Mara tatu kwenye mwili wake'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…