TANZIA Professor James Shaba afariki dunia. Alifanyia postmortem mwili wa Hayati Sokoine

TANZIA Professor James Shaba afariki dunia. Alifanyia postmortem mwili wa Hayati Sokoine

Sokoine alikuwa ndiye Waziri mkuu wa kwanza wa Tanzania, Nyerere alikuwa Waziri mkuu wa Tanganyika
Rashid Mfaume Kawawa alikuwa waziri mkuu wa mwisho wa Tanganyika January 1962 mpk 9 December 1962.

Kuanzia 10 December 1962 mpk February 1972 nafasi ya waziri mkuu ilifutwa.

Mwaka 1972 February nafasi ya waziri mkuu ilirejeshwa na Rashid Mfaume Kawawa akawa waziri mkuu wa kwanza wa Tanzania mpk mwaka 1977.

Kawawa alifuatiwa na Sokoine
 
Speak only the good of the dead!, hakuna mhenga yoyote wa enzi hizo ambaye hamjui Prof. Shaba!.
He was a genius!.
RIP Prof. Shaba.
P

Profesa alikuwa na kautaratibu alikojiwekea kando kwamba kabla hajafanya upasuaji ni lazima apige ile whisky yake matata sana ama Teachers au Johnnie Walker.

Hayati Mwalimu alipoambiwa Prof ametoa PM ikiwa clear bila uchakachuaji ikabidi kwanza apewe likizo aende nchi fulani hivi.

Hakuwa tayari kwenda kinyume na taaluma yake.

Pole nyingi ziende kwa familia ya mwamba huyu wa taaluma ya upasuaji.

RIP Profesa Shaba.
 
Kwanini apewe likizo kwa sababu ya clear PM?!
 
Back
Top Bottom