Professor Jeffrey Sachs: Marekani inapigana vita vya Netanyahu

Msipende kurahisisha mambo magumu kirahisi hivyo, starlink zina miaka mitano tu, watu wamekuwa wanapigana vita kwa maelfu ya miaka kwa namna nyingi tu za mawasiliano.
Mkuu usipende ubishi usio kuwa na maana mkuu.
Mwanzoni mwa vita Urusi iliweza kuingilia mawasiliano ya jeshi la Ukrain ndo Eron musk akawaruhusu kutumia sataraiti zake kwa sababu hazidukuliwi kirahisi.
 
Huwezi helewa ila biblia kwa asilimia kubwa imeelezea historia ya wayahudi na Mungu wao (Yahweh) kile alichoongea kupitia kinywa cha yeremia ndo kimeshatimia kwamba wataenda ulaya kama watumwa na kurejea imetimia mwaka 1948
Mkuu wakristo wanao iamini hiyo Bible ni sehemu ndogo sana wa watu walioko duniani , wakristo ni robo tu ya watu wote walioko duniani.
Hapa duniani kila mtu akitaka aendeshe mambo kwa mujibu wa iman yao basi hii dunia haitakalika.
 
Hata usipoamini unahaki hiyo kwan umelazimishwa
Ila kilichoandikwa zaidi ya miaka 3000+ iliyopita kwenye biblia kimetimia
 
Hata usipoamini unahaki hiyo kwan umelazimishwa
Ila kilichoandikwa zaidi ya miaka 3000+ iliyopita kwenye biblia kimetimia
Acha ujinga dunia ina ongozwa na sheria za kimataifa haiongozwi kwa Sheria na maandiko ya kitabu chochote cha dini.
Kila mtu akitaka yaliyo kwenye kitabu chake cha dini yatimie hii dunia itakalika?
 
Shida ya US ni moja,kupenda sifa na kujua waliokua wanafanya karne ya 18 bado ni Yale Yale,ukiangalia China anapigana vita kimya kimya yeye anachoangalia atawezaje imarisha uchumi wake ndio maana US anatumia ubabe wa tariffs ilikumzuia.
US anawaza vita,Russia+China wanawaza uchumi.
US kuna shida nyingi sana ndio maana hadi Trump ameshinda sbb watu wanauana km kuku kule,hali yao ni mbaya sana
 
Acha ujinga dunia ina ongozwa na sheria za kimataifa haiongozwi kwa Sheria na maandiko ya kitabu chochote cha dini.
Kila mtu akitaka yaliyo kwenye kitabu chake cha dini yatimie hii dunia itakalika?
Hizo sheria wanatunga wanadamu walelwale walioandika biblia
Waislamu wanalazimisha jerusalem ni mji muhimu kwenye mafunuo yao ila unashaanga wakristo kuamini kwenye maandiko yao
 
Hizo sheria wanatunga wanadamu walelwale walioandika biblia
Waislamu wanalazimisha jerusalem ni mji muhimu kwenye mafunuo yao ila unashaanga wakristo kuamini kwenye maandiko yao
Israel ya sasa ipo na ilianzishwa kwa misingi ya kidunia na sio ya kidini ukisha litambua hilo hutoendelea na hizo ngonjera zako.
Ww kuamini hizo hadhithi kuhusu Israel ni haki yako kwa sababu hiyo ni haki yako ila ni makosa kuwalazimisha wengine waamini hizo hadhithi.
 
Nimewahi kusikia conspiracies nyingi sana za holocaust ya Wayahudi ila hii ya kwamba walitolewa kwenye nyumba zao kuwekwa kwenye concentrations camp ili kutafutiwa nchi yao inaweza kuwa ya kijinga zaidi kuwahi kuisikia.
Inawezekana mleta uzi anawachukia sana wayahudi, najaribu kusoma comments zake labda nitagundua sababu.
 
Chuki zako tu
 
Nisaidie kitu; wale waliouliwa na Hitler ni Wayahudi au Wazungu?
 
Nisaidie kitu; wale waliouliwa na Hitler ni Wayahudi au Wazungu?
Ni wote wayahudi na wazungu, uyahudi kama Dini mtu yoyote anaweza kuwa myahudi, mwarabu, mchina, mzungu, mweusi etc ila Israelite ni yake makabila 12 YA kiyahudi ya mwanzo kabisa. Na Israelite anaweza akawa myahudi, Mkristo, Musilamu, Atheist etc.

So wayahudi wazungu asili yao ni Ulaya, wayahudi walioteswa na Hitler wengi ni Ashkenaz wanaweza wasiwe necessarily wajerumani ila ni wa Ukraine, Poland, Georgia, Russia etc.
 
Assume ni Tanzania, ROSTAM ana kiwanda cha Gesi, halafu Tanzania kila sehemu ina peleka misaada ya Gesi na kuweka hela kwenye mfuko wa ROSTAM usingepiga kelele? Issue ya silaha Marekani Majority hawataki, ni minority ndio zinawafaidisha, na hao ni wamarekani wenyewe ambao kodi zao zinatumika.
 
Hili suala ni pana sana,
1.Makampuni ya silaha ya Marekani ni PLC, yanauza hisa katika masoko ya hisa ya Marekani, watu wengi wananunua hisa.
2.Msaada wa gesi ya kupikia, sio sawa na msaada wa silaha zinazohitajika katika vita , ni mambo mawili tofauti kabisa. Jifunze kitu kinaitwa security investment.
3.Tanzania ni masikini, Marekani ni nchi tajiri. Pesa ilizopeleka Ukraine au Israel ni peanuts kwa serikali ya Marekani.
4.Kura zote za maoni zinaonyesha Wamarekani wengi zaidi wanakubaliana na msaada wa Marekani kwa Ukraine.
 
Hili suala ni pana sana,
1.Makampuni ya silaha ya Marekani ni PLC, yanauza hisa katika masoko ya hisa ya Marekani, watu wengi wananunua hisa.
Kina nani wanamiliki hizo hisa? Blackrock, Vanguard, Morgan Stanley etc watu hao hao wanaoitwa deep state hela zinaingia mifukoni mwao,

Urusi anaruhusiwa kununua hizo Hisa? Bakhresa? Dangote?
2.Msaada wa gesi ya kupikia, sio sawa na msaada wa silaha zinazohitajika katika vita , ni mambo mawili tofauti kabisa.
Unelewa maana ya mfano? At the end hela zinaingia mifukoni mwa individuals na sio serikali, kwanini hela za wa lipa kodi wafaidika wawe ni individual?
3.Tanzania ni masikini, Marekani ni nchi tajiri. Pesa ilizopeleka Ukraine au Israel ni peanuts kwa serikali ya Marekani.
Yes hio Nchi Tajiri haina hela za kulipa waliokuwa na majanga California, $770 wamepewa wa husika, zipo wapi hela?

Utajiri wa Marekani upo kwenye kufaidisha mabilionea wake tu, ila siku zote masikini wa Marekani hathaminiwi.
4.Kura zote za maoni zinaonyesha Wamarekani wengi zaidi wanakubaliana na msaada wa Marekani kwa Ukraine.
Data za lini? Data za karibuni zote hazioneshi hivyo na Moja ya sababu Trump kushinda ni hio, ahadi yake ya kampuni kusitisha hio misaada.

Tupe reference na wewe unayejua hayo mambo kiundani sio ngonjera tu. Nilishawahi kusoma hapa hapa jf ya kwamba wayahudi wameuwawa Sana katika nchi za ulaya na sio ujerumani pekee
 
Nakazia
 
Ulitaka serikali ya Marekani iwe inazipataje silaha?
Serikali iwe inatengeneza yenyewe na sio makampuni binafsi ili pesa ziwe zinarudi serikalini??
Serikali ya Tanzania inaponunua silaha kwenye makampuni ya huko nje pesa za walipa kodi zinaenda wapi?
 
Waambie wamarekani mkuu sio mimi, hasa hasa Trump maana yeye ndio haelewi.
 
Pole sana taraatibu utaanza kuelewa nini maana ya Trump kuimarisha agano lililolegalega kati ya US na Israel
Kama huna unazi kumpredict Trum ni rahisi tu misimamo yake inaeleweka ila ukishaweka unazi wa kiimani basi lazima kuwaza kwako kuwe tenge.
 
IRAN Umejichanganya uyo Tramp ataigusa iyo Nchi Toka kuumua yule kamanda wa IRAN misukosuko aliopitia na Bado anajua Wairan Wanamuinda tena Awachokoze !!!!!

Chengine IRAN ana technology kubwa ya kisasa kwenye Makombora yao ambayo Marekani awana inawatatiza!! Ukiacha mahaba yako kwa Israel!!!!

unajua Telaviv ilikuwa Ikipigwa na technology ya IRAN wameshindwa kuizuiya!! Alafu tena Wakamchokoze kama ndio Ndoto yako ata Netanyahu na Tramp wanaiyo ndoto akilini mwao!!!

lkn IRAN awezekani kwasasa Adi Wawajue Technology yao na watest wanaweza kweli mzibiti!!

ndio Wamchokoze kwasasa Chini ya Tramp kunauwezekano mkubwa kuundwa Taifa la Palestina tofauti na kile Tramp anakiongea kwenye MEDIA Wasomi wengi kwasasa Marekani wanaunga mkono Palestina iwe Taifa!!
kuendelea kuwauwa Wapalestina kwasasa kutaatalisha Usalama wa Marekani!!!! Washafanya Tasmini ali ni tete ndani yao Wenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…