Tetesi: Professor Lipumba: Lazima tugawane Umeya wa Kinondoni na Ubungo

Haa haa nikikumbuka safari ya lipumba nchini rwanda katikati ya uchaguzi na kukiacha chama chake sina hamu na huyu baba kamwe. poleni sana wana cuf, lengo kuu la lipumba ni kwamba halmashauri hizo zirudi ccm. wajinga waliwao...
 
Hapoungemalizia kama lipumba NA ccm
 
Kwani ana madiwani? Mnajihashua tu..huyu lipumbabu timu yake ya wahuni wa vijiweni tangu lini wakachagua
 
wito endapo lipumba atakuwa mwenyekiti
tafadhali naomba UKAWA ivunjike maana huyo katumwa kuja kuiharibu kama hapo awali?!!!!!
 
Profesa mbobezi wa uchumi, yuko bize na siasa, dah Hii inapatikana tanzania tu..
 
Hata kama ni brainwashed lakini huyu sasa kazidi! Naamini kitu alichopost Mtatiro hapo awali kilikua sahihi na huenda watu wanamsikiliza mwenyekiti wakati kumbe tukisahau kuwa kuna mstari mwembemba sana kati ya utimamu wa akili na ukichaa!
Thin line beetwen hell and paradise.Thin line between madness and conciousness. [emoji124] Nawasikitikia wanaomuona Pro Pesa ni timamu.
 
UKAWA MTAKOMA JAMAA KAAMSHWA USINGIZINI AFU KAPEWA RUNGU. ...HAHAHA
 
Haa haa nikikumbuka safari ya lipumba nchini rwanda katikati ya uchaguzi na kukiacha chama chake sina hamu na huyu baba kamwe. poleni sana wana cuf, lengo kuu la lipumba ni kwamba halmashauri hizo zirudi ccm. wajinga waliwao...
Kama alithubutu kumpigania Baba Riziki kipindi kile cha maji ya shingo 2010 atashindwa leo wakati ameahidiwa cheo?
 
Eeeh Prof maana hiki ndicho umetumwa na CCM.Wapinzani wavurugane ili wakose wote. Ama kweli mzigo mzito mpe mnyamwezi!!!
 
Huyu atakuwa amefundisha watu wakafaulu kweli,waliofundishwa na huyu watakuwa nusu wataalam.
 
Alikuwa wapi wakati wa uchaguzi mwambien Lowassa bado yupo Ukawa kwahyo yeye hastaili kuingilia mambo ya Ukawa kwasababu wakati anaondoka alisema nafsi inamsuta sasa imeacha au anakula matapishi yake
 
Profesa mbobezi wa uchumi, yuko bize na siasa, dah Hii inapatikana tanzania tu..
Hivi huyu msajili wa vyama vya siasa anahusika pia na usajili wa makabila? Nikimkumbuka James Mapalala na sasa Lipumba, naona kuna kabila Tanzania linastahili kufutiwa usajili.
 
Mwenyekiti wa CUF???? Nijuavyo kavamia ofisi ya watu. Kiungwana hawawezi kuanza kunyang'anyiana ofisi. Wanamwaacha tu watamtoa kisheria. Isitoshe kila mtu anajua CUF chini ya mwamvuli ukawa wamefanya vizuri sana. Nje ya ukawa CUF itarudi kulekule ilikokuwa. Umoja siku zote ni nguvu. Na ukawa nguvu kubwa inatoka CDM. CUF+CDM watafika mbali. Wakitengana tu ni furaha ya chama fulani.
 

Hapo ni madiwani wenyewe kama hawako makini.Nasikia anataka Meya wa Kinondoni atoke CUF,sasa na UKAWA amevunja anategemea CCM watampigia KURA Diwani wa CUF,a real Professor sijawahi kuona.

Na mbaya zaidi akishafanikisha hilo,hawatamtetea siku CUF wakimfikisha mahakamani na kumuondoa ndipo atajutia sana.Ila kw auhakika kabisa najua anaenda kupotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…