Professor Nabi anza na kikosi hiki kwenye mechi ya marudio dhidi ya Marumo Gallants

Professor Nabi anza na kikosi hiki kwenye mechi ya marudio dhidi ya Marumo Gallants

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2019
Posts
33,092
Reaction score
96,127
1. Diarra
2. Dickson Job
3. Kibwana Shomari (umkumbushe huyu kijana wako! Mechi iliyopita alikuwa anajisahau sana)
4. Ibrahimu Abdallah (Bacca)
5. Bakary Mwamnyeto
6. Khalid Aucho
7. Abubakary Salum (Sure Boy).
8. Mudathir Yahaya Abbas
9. Fiston Kalala Mayele.
10. Stephano Aziz Kii
11. Farid Mussa Malick.

Sub: Metacha Mnata, Joyce Lomalisa, Juma Shaban, Kennedy Mudonda, Clement Mzize, Tuisila Kisinda, Jesus Moloko, na Yannick Bangala Litombo.

Hiki kikosi kitaisaidia timu kwenye umiliki wa mpira, kuzuia mashabulizi ya Marumo, na pia kwenye counter attack.

Chonde chonde Profesa!!
Moloko na Kisinda wasianze. Maana hawa jamaa siyo wazuri kwenye kumiliki mpira. Wao ni wazee wa mbio tu. Hivyo waingie kipindi cha pili.
 
Nahisi kipindi cha kwanza atafanya kama alivyofanya kwa Rivers kule Nigeria ili aende mapumziko bila kufungwa. Kisha kipindi cha pili atakuwa kauona mchezo unavyoendelea atakuja na approach kutokana na jinsi alivyoona kipindi cha kwanza.
 
Mayele anahitaji ushauri wanki saklojia. Ni mister myself Sana. Anapoteza mipira mingi Sana. Ana tamaa ya kuwa mfungaji Bora ili ajiqeke sokoni kwa gharama kubwa ata wakost utopolo
Dah! Hili tatizo linawakumba mpaka mastaa wakubwa Duniani, akiwemo Ronaldo. Anyway, tuombee hiyo keshokutwa atangulize maslahi ya timu kwanza, ili twende zetu fainali.
 
1. Diara
2. Job
3. Lomalisa
4. Mwamnyeto
5. Baka
6. Bangala ( ingawa ana Yellow)/ Zawadi
7. Aziz K/ Moloko
8. Aucho
9. Mayele
10. Mudadhir/ Farid
11.Mzize/ Kisinda
 
Kwa kweli nimejisikia uvivu kumuweka. Maana kwa aina ya mechi yenyewe ilivyo ngumu na muhimu kwa Wananchi, naona kabisa nafasi ya kucheza yeye haipo.
Naunga mkono hoja yako.
Mechi ya Dodoma ilionyesha kabisa jamaa bado hawezi anza kikosi cha kwanza.

Na kwa mtindo wake ule, jamaa wanaweza kumuacha na atakuwa hana namna zaidi ya kwenda Simba au Singida big Star
 
Hiyo mechi kwa beki Sina hof nayo. Ila kwenye saf ya kat mudathiri awepo,zawadi mauya na Aziz ki. Pembeni akae kisinda/moloko kulia... Kushoto akae kibwana. Mbele musonda na Mayele. Tukikosa goli tatu bas tuna bao tatu
Mauya achelewagi kutoa pasi mkaa akachomesha. Mauya anakaba ila kutoa pasi sahihi ndio changamoto
 
TIMU YETU MDA WETU....there's the chance wananchi we can make it
20230515_192020.jpg
 
Back
Top Bottom