vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Ikiwa mechi ya pili ya marudiano kati ya Far Rabat na Etoil du Sahel, kocha wa zamani wa Yanga prof Nabi pamoja na mchezaji wa zamani mtukutu Morrison wana kibarua kigumu leo kufuzu michuano ya klabu bingwa hatua ya makundi.
Mechi ya awali iliisha kwa Far Rabat kufungwa goli moja na leo wakiwa nyumbani tayari wameshatanguliwa goli moja na wapo pungufu.
Kama mpira utaisha hivyo, maanake Nabi atakuwa amefundisha misimu zaidi ya mitatu na timu tofauti pasipo kuifikisha timu makundi katika mashindano ya klabu bingwa. Kila la kheri liwe juu yake siku ya leo.
Update
Far rabat wametolewa kwa aggregate ya magoli 3 kwa 1
Pole kwa Nabi na Morrison, huku Yanga imesonga mbele.