Proffesa Kabudi na siasa za maji ya kihaya, unamfananisha Samia na Nyerere, Hayati Magufuli na Mungu aise

Proffesa Kabudi na siasa za maji ya kihaya, unamfananisha Samia na Nyerere, Hayati Magufuli na Mungu aise

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Ukinzisha biashara ya kuuza maji na kuyaita uhayani water utauza sana

Najiuliza Proffesa Kabudi alirogwa na nani?
Yaani anamfananisha Samia na Nyerere kama ulivyomfananisha Magu na Mungu na baadae Mungu kukuonesha hafananishwi akamtwaa.
 
Prof Kabudi amekua anatumia jina la Nyerere kujinufaisha ila mwisho wake Utakua mbaya
 
Back
Top Bottom