nimekuwa nikifuatilia progress yako kwa karibu,nina maswali kidogo
-kiwanda kitakuwa sehemu gani,specifics please
-do u plan to have extension officers to support wakulima
-mimi nataka kulima mihogo with a sole purpose kuwauzia,je mkianza mtakuwa na utaratibu wa kutoa dhamana benki kuwa kama nitalima na kuvuna mazao yangu yote mtayanunu,hii kama insuarance for my bank manager kuwa akinipa pesa ntazirudisha in time kwani suala linakuwa ni mimi kulima,kupambana na wanyama waharibifu,then kubeba to u r production plants
I have been impressed by the idea of strenghten entrepreneurial tendency especially for graduates, as an intellectual i have also a project in the position to be funded. iko powa hiyo idea yako. Mimi ni entrepreneurial chemist nipo tayari kukusaidia so that we can move our country forward na kwa wale wengine wote wenye idea kama hizo please let contact with me via safariwafungo@yahoo.com
Kwa wadau tulio pamoja tunapatikana hapa sasa japo ni hatua za mwanzo unaweza kupata habari na update zetu karibuni sana mtembelee website yetu
www.scheerfoundation.org
ni risk zipi zilizopo?Sio muhogo as raw as it is, ni kwamba unakuwa processed kuextract starch ambayo ndo itakuwa exported. In general muhogo una 25% ya starch kwa hiyo hizo tani 24,000 ni sawa na tani 96,000 za muhogo. Na soko la starch ni kubwa sana duniani, Tanzania peke yake ina import tani 980,000 kwa mwaka so hata hapo kuna soko kubwa sana tu kwa watu watakaoamua kununua nyumbani japo soko hatutaweza kuzalisha kiasi hicho hadi tujenge capacity kwanza na pia kustimulate uzalishaji kwa wingi
So demand ni kubwa na pia kuna challenge za kuexpand haraka kwa vile risk nazo ni kubwa sana kwa kampuni inayoanza from scratch na pia haina experience sana kwenye maeneo yote ya biashara
Tanzania serikali inasema ina sera nzuri za kusaidia wajasiria mali, lakini ukweli hamna kitu hovyo kabisa ni wewe mwenyewe uhangaike uhonge ili ufanikiwe
Mkuu nimekupata sana. Naam mimi ningeshauri pamoja na wewe kuwa plan kutegemea wakulima wadogo kuwa suppliers wa material yako,ni vema na wewe ukawa na plan za kuwa na mashamba makubwa ya mhogo huo.
Kwanza shamba litakuwa model kwa wakulima,pili litakusaidia kuwa kinga kwa mikopo ktk siku za mbele,in case unataka kupanua shughuli zako, kumbuka ukifanikiwa watu wa kukopi na kupesti wako lundo.
Wakati unatafuta fedha tafuta na ardhi kubwa,ambayo ipo tele,ili ukifanikiwa kupata fedha basi na ardhi unayo. Sio lazima ulime wewe kwa kuanzia, ila unaweza kukodisha watu wakalima ndani ya shamba lako na kukuuzia wewe. Usitegemee sana wakulima wadogo.
Nimekupata na kulifanyia kazi wazo lako, tumepata eka 25,000 toka RUBADA tutafanyia commercial cassava production na tutawapa watu wengine plots na kusaidia katika mambo pembejeo kwa mashart ya kutuuzia wenyewe!
Tunaangalia pia modality zingine za kufanya pia kwani ni kazi kubwa eneo lote ni pori kwa mara ya mwisho lililimwa na wajerumani miaka ya 1880 huko, lakini ni zuri sana na very fertile
nawezaje kuchangia na mim