CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
Thanks mkuu!this is still a business idea
go go goo
Wakuu natafuta members ili tuanzishe project kubwa ya kilimo RUVU,nimeplani kilimo cha matikiti maji na natarajia kuwekeza mtaji wa kuanzia 5-10million.
Kwa aliyetayari aniwekee PM ili tuongee fresh.Tutaandika mkataba na mgao wa faida ni kwa hisa kutegemea na mtaji wako.
Natarajia kuanza mchakato jan,
NOTE:sijapata mashamba ila kwa mujibu wa Wataalam pale Ruvu matikiti yanakubali fresh.
Pia kwa anayejua soko zuri zaidi atuwekee hapa ingawa matikiti yana soko zuri.
Naomba kuwasilisha.
Naitaji japo 3-5hds ambao tutaweka mtaji wa 20-30m.Good idea,so unahitaji kama idadi ya watu wangapi hivi kufanikisha hilo..mi napenda kujihusisha na masuala ya kilimo nitakutafuta!!!!
Bado sijapata shamba mkuu.Una shamba? Ekari ngapi? Lipo karibu na Mto?
Kukodi?nataka mashamba ya kukodi.Ekari moja sasa hivi Ruvu chini karibu na mto ni mpaka 3m
kukodi?nataka mashamba ya kukodi.
Thx kwa ushauri mkuu.Ngoja kwanza nipate complete full expenses then ntafunguka either sat.Kwa sasa niko ars nimefatilia mbegu za matikiti hybrid.Na nimezikuta huku.Kesho ntakua mikese morogoro becouse kuna mtu aliniambia pande hizo pia matikiti yanakubali sana.andika bussness plan yako then kama watu wata ona iko prctical watakujoin.
Around meter ngapi kutoka mtoni?na ni bei gani Kukodi?vipi man power?Ya kukodi yako mbali kidogo na mto.......
Around meter ngapi kutoka mtoni?na ni bei gani Kukodi?vipi man power?
Kukodi karibu na mto ni bei gani kwa heka?na vipi matikiti yanakubali vizuri?vipi kuhusu vitunguu mkuu?jee pia vinakubali?wastani wa shina 1 la tikiti ulipata matikiti mangapi?na vitunguu ulilima kiasi gani na mavuno yakoje?na uliuza bei gani per pc ya tikiti na gunia la vitunguu?mbegu za matikiti ulinunua bei gani?wapi?naomba msaada wako mkuu juu ya maswali niliyokuuliza.
Kama 2km na unalipa 40,000 kwa eka kwa mwaka...manpower ya pale sio nzuri sana vizuri ulete yako.......nilichukua eka 6 mwaka jana zikiwa 900,000 na nimelima vitunguu na matikiti hela yote imerudi
Hela yote imerudi, faida je?
Kama 2km na unalipa 40,000 kwa eka kwa mwaka...manpower ya pale sio nzuri sana vizuri ulete yako.......nilichukua eka 6 mwaka jana zikiwa 900,000 na nimelima vitunguu na matikiti hela yote imerudi
Bado sijapata shamba mkuu.
Ni project ya 10-20acres.
Thanks kwa taarifa mkuu.Big up sana mkuu kwa juhudi zako katika kilimo.
Mimi nina shamba huku Ruvu. Ndio sasa naanza kusafisha.
Tupo mbali na mto, ila kuna wanavijiji wana mashamba ya kukodi karibu na mto.
Kama unahitaji naweza kuongea nao nikakuunganisha nao kuafanya kazi nao.
Uzoefu wangu wa huko ni kwamba inabidi uwe na wafanyakazi wako toka Dar.
Watu wa kule si wachapa kazi sana.
Thanks kwa taarifa mkuu.
Vipi hapo Ruvu matikiti yanakubali vizuri?
Maana nimeambiwa ata mikese pia kuna ardhi nzuri ya tikiti!