Najaribu kucheck kama kuna wanaolima tikiti kwenye greenhouses, kwa bahat mbaya sijaona one. So inaweza ikahitaj kuwauliza wataalam wa kilimo kupitia hizo number kwenye hizo clips za Syngenta. Nikiwa karibu ntakutafuta tuone km tunaweza badalishana mawazo mawil matatu eneo hili coz I like sana kilimo na nadhan ni njia nzuri ya kutokea.
Yap! hata mm nadhan itabd nifike hapo kwa kupata maujuzi zaidi!Arusha kuna chuo kinafundisha Horticulture kinapatikana Tengeru karibu na CDTI. Hapo naamini wataalam wa mazao ya matunda na mboga mboga na maua wataweza kutoa msaada zaidi ya Greenhouse Farming, Rotational na ecology zones pia.
Ntashukuru sana mkuu!Kuna mashamba ya Maua Arusha wanaweza kukufundisha au hata kukuazima wataalam wakakutengenezee kwa shamba lako, kuna bingwa mmoja majuzi tu alitengenezewa shambani kwake ajaribu kulima uyoga.
Nitajitahidi kukutafutia mawasiliano yao.
mtaji mdogo huo, unataka kulima eka ngapi?Wakuu natafuta members ili tuanzishe project kubwa ya kilimo RUVU,nimeplani kilimo cha matikiti maji na natarajia kuwekeza mtaji wa kuanzia 5-10million.
Kwa aliyetayari aniwekee PM ili tuongee fresh.Tutaandika mkataba na mgao wa faida ni kwa hisa kutegemea na mtaji wako.
Natarajia kuanza mchakato jan,
NOTE:sijapata mashamba ila kwa mujibu wa Wataalam pale Ruvu matikiti yanakubali fresh.
Pia kwa anayejua soko zuri zaidi atuwekee hapa ingawa matikiti yana soko zuri.
Naomba kuwasilisha.
Wakuu hivi spinach na kabich zinakubali vizuri ruvu?
Good sound mkuu!Mimi binafsi sina uzoefu wa mboga hizi, ila jamaa kule wanalima sana bamia (nafikiri kutokana na urahisi wa matunzo yake).
Pia wanalima sana matikiti. Ila sina shaka kuwa hata kabichi na spinach zinakubali, maana mpaka sasa sijaona zao ambalo limekataa kule.
Then mkuu chai changu tumezimiss Hadith sana.Wakuu natafuta members ili tuanzishe project kubwa ya kilimo RUVU,nimeplani kilimo cha matikiti maji na natarajia kuwekeza mtaji wa kuanzia 5-10million.
Kwa aliyetayari aniwekee PM ili tuongee fresh.Tutaandika mkataba na mgao wa faida ni kwa hisa kutegemea na mtaji wako.
Natarajia kuanza mchakato jan,
NOTE:sijapata mashamba ila kwa mujibu wa Wataalam pale Ruvu matikiti yanakubali fresh.
Pia kwa anayejua soko zuri zaidi atuwekee hapa ingawa matikiti yana soko zuri.
Naomba kuwasilisha.