Puppy
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 2,995
- 2,513
Najaribu kucheck kama kuna wanaolima tikiti kwenye greenhouses, kwa bahat mbaya sijaona one. So inaweza ikahitaj kuwauliza wataalam wa kilimo kupitia hizo number kwenye hizo clips za Syngenta. Nikiwa karibu ntakutafuta tuone km tunaweza badalishana mawazo mawil matatu eneo hili coz I like sana kilimo na nadhan ni njia nzuri ya kutokea.
Arusha kuna chuo kinafundisha Horticulture kinapatikana Tengeru karibu na CDTI. Hapo naamini wataalam wa mazao ya matunda na mboga mboga na maua wataweza kutoa msaada zaidi ya Greenhouse Farming, Rotational na ecology zones pia.