Projects za Mchungaji Kimaro akiwa KKKT Kijitonyama

Projects za Mchungaji Kimaro akiwa KKKT Kijitonyama

Embu niambie ni Imani gani ya kidini ambayo huwa haiwasihii wafuasi wake Uaminifu. Achilia mbali zile imani zako za kichawi ulizostahafu kuzifuata.
Uaminifu ni tabia njema inafundishwa.. Mafundisho yakiwa mazuri waumini wataacha matendo yao yasiyo ya uaminifu na kuwa waaminifu
 
Mimi binafsi napenda Kimaro. Ni Mtumishi anayeipenda kazi yake. Hakuwahi kulala kwenye Huduma ya Kichungaji. Hizi morning na evening Glory ni ubunifu wake Kazini. Wengine hawana kwenye Sharika zao. Seminar za kujifunza Neno na stadi za Maisha ni Ubunifu wake zimewainua Wengi Kiroho, Kimwili na Kiakili.. Amejenga Mahusiano na Watu, Sharika, nje, dini, madhehebu mengineyo Kwa Amani na Furaha kabisa. Leo hii umamsimamisha Kazi Kihuni watakubali Wafuasi watoa Sadaka zinazolipa Mishahara Yao? Wanadahau % wanazopokea huko juu zinakotoka. Ngoja Waumini wasuse ndio Watajua hekima inatakiwa kwenye Maamuzi.

Sio wasuse wahame kabisa, wasilete chachu kanisani.
 
Waumini ndiyo waliounda KKKT na kuifanya Taasisi. Usiwachokoze. Moto utalipuka. Mapungufu yapi Mapya ambayo hayafantwa hapa Duniani? Kabaka Mtu? Kaoa Mwanaume mwenzie? Kafungisha Ndoa Mashoga? Kajitangazia Uaskofu? Watieni moyo wanaotunza Roho za Watu siyo kuwadhusha Morali zao.

Moto gani utaliopuka. Mnajiita Wana uhamsho kumbe wapenda fujo. Amepewa likizo lakini kelele ni nyingi mno.
 
Natabiri 22/1/2023 patachimbika

Utachimbika mwenyewe acha vitisho. Mfuate huyo motivational speaker wako huko. Msituchafulie kanisa wana wapenda fujo na mafarakano. Kapewa likizo halfu wewe unadai patachimbika, utachimbika wewe. Mnajifanya uhamsho wakati maadili zero.
 
Unapenda roho ya mafarakano. Unapenda kuona fujo. Hilo halitatokea na Kijitonyama itasimama imara daima. Kama mnahama hameni Mungua ana watu wengi Sana, nyie sio wa kwanza. Acheni roho ya fujo muondoke na huyo mchungaji wenu mliyemfuata.
Na nyinyi vijana muwe waaminifu, sio mnakemewa tabia zenu mbovu mbovu mnaanza kuvuta midomo.
 
Ni unabii umetimia.. Kila litokalo mdomoni ni zao la rohoni... Amejitambulisha uhalisia wake
Mkuu Mshana Jr salam.
Ulichoandika hapa kimenipa tashwishwi ya kukuuliza kama umebadilisha msimamo wa kuwa mfuasi wa mungu (god) na sasa kuwa mfuasi wa Mungu (God)? Ulichoandika hapa ni wachache watakuelewa. Hongera kwa kumkubali Yesu kama bwana na Mwokozi wa maisha yako.

Ahsante​
 
Kwenye kila baraka kuna laana
Kila penye mafanikio pana mapungufu
Kufanya mambo fulani hakukufanyi kuwa mkubwa kuliko taasisi
Hii ni kweli, pia usitoe matamshi makali yanayowafanya watu wahoji uadilifu wako, unaponda watu wako mbele ya madhabahu??!!! hii hapana, ajiri Baniani, ajiri mabuda ht waislamu, kuna haja gani ya kutolea mifano tena mdhabahuni?, hiyo ni haki yako kufanya kazi na mtu yeyote..., uko chini ya taasisi heshimu mamlaka iliyokuteua....
 
Hakuna alichokosea?. Kuwaita KKKT kanisa la madalali na Katoliki kanisa la kweli?. Ukweli ndio Nini? Kesi za ufiraji zipo kanisa gani? Tuache kutetea mambo kisa kasema Fulani. Huyo alitakiwa kufukuzwa kabisa aende huko Katoliki.
Unahamishia vita yako kwa Kanisa Katoliki? Hebu malizaneni huko huko na uslihusishe Kanisa Katoliki katika vurugu zenu
 
Kwani baraza la wazee si lilikuwepo kabla yake ,mbona hawakuyafanya kwa wachungaji waliotangulia. Tuwe na roho ya shukrani kama waenda mbinguni, unless ni wasindikizaji

Nikuulize swali jengo la kitega uchumi pale KKKT limejengwa lini?. Ukinijibu hapa ndio tutaelewana. Kituo Cha watoto yatima kimenza lini?. TV ya kwanza pale imeanza lini?. Nijibu kwanza hayo maswali.
 
Wee ndio unajicontradict. Umeshasema uaminifu ni suala la mtu binafsi then hapo hapo unasema hauwezi kuwa mkristo bila kuwa mwaminifu. Sasa mkristo ni n'gombe au mtu?!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Watu wanasusa kusali..hawataki kufanya ibada kisa Kimara kaenda likizoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ilaa watu wanautani na Mungu.
 
Unahamishia vita yako kwa Kanisa Katoliki? Hebu malizaneni huko huko na uslihusishe Kanisa Katoliki katika vurugu zenu

Umenielewa nilichosema au umekurupuka kunijibu. Punguza hasira.
 
Hilo ndio swali ambalo linawashangaza wengi, na tena anaambiwa akaripoti Mkao Makuu tayari kwenda usharika mwingine. Hii move Dkt alipaswa kuishtukia mapema. Kwenye hizi taasisi inabd kuwa na washauri wanaokuambia ukweli ili ujizatiti kabla ya kupewa likizo ya siku 60 (ambazo hukuziomba).
Si ahame?!! aende kwa -MTORO...
 
Atulize akili, ikibid asafiri kwenda nje ya nchi kwa muda ili ajitafakari kabla ya likizo kwisha. Nataarifiwa pia Mchungaji Hananja walimletea design flan yeye akawawahi kwa kuomba kustaafu kwa hiari, Sasa anakula mema ya nchi na mkewe, bila kupeleka percent DAYOSISI
Makanisa yako mengi si lazima KKKT...
 
Kila usharika KKKT una baraza la wazee, sharika ngapi zimefanya hayo yote? Nenda Usharika wa Sinza, hiyo Youtube Chalinze ikiwa live viewers wakizidi sana 15 na bado wanapambana na Deni mpaka kesho, Mwenge hali kadhalika.
NB: Kimaro hata apelekwe GEZAULOLE ataonyesha maajabu, jiulize kabla ya Kimaro-Knyama hapo Kinyama mbona kulikua jiiiii
Alijisahau Sana Hadi kuanza kuwasifu Wakatoliki na Waisalmu hadharani eti ,roma Catholic wako vizuri aende uko sasa...
 
Back
Top Bottom