Projects za Mchungaji Kimaro akiwa KKKT Kijitonyama

Projects za Mchungaji Kimaro akiwa KKKT Kijitonyama

Amepiga simu polisi kuomba usaidizi ili aweze kuanzisha ibada ya masifu ya asubuhi kesho asubuhi, anapiga piga simu ovyo kusumbua wazee wa watu kuulizia hali ilivyo baada ya kufanikiwa kutoroka kanisani

Unapenda roho ya mafarakano. Unapenda kuona fujo. Hilo halitatokea na Kijitonyama itasimama imara daima. Kama mnahama hameni Mungua ana watu wengi Sana, nyie sio wa kwanza. Acheni roho ya fujo muondoke na huyo mchungaji wenu mliyemfuata.
 
Unashadadia sana hili tatizo..

Ninakuhakikishia kuwa hili jaribu la Kimaro litapita na awamu ijayo atakuwa na nguvu mpya na utaona haya kwa michango hii.

Wakristo sisi ni vituko wakati mwingine...unafurahiaje tatizo la mwenzio?

Lini waislam wanafurahiaga shida za wenzio badala ya kuwatetea?
Wakrsito tutajielewa lini?

Wewe na Kimaro lenu moja. Kusifia waisalmu na kuutukana Ukristo. Hamuutaki Ukristo na uislamu hamuwezi kuhamia. Mnaitaji counselling.
 
Sema KKKT damu ya Luther inawaandama bado. Yaani kuhamishwa mtumishi na mwajiri aliyemleta ni issue😁 inawezekana hata akifa mtasema Mungu katuonea wivu. Hili ndo tatizo la kujenga imani on personality cults. Tulieni wazee. No one is permanent and everything has it's timing. Kwa Catholics huwa kuna missionaries wao ni kuanzisha mission from scratch. Ikikomaa wanakabidhi wanasonga deep in the bush. Mambo ya sijui Mimi ndo nilianzisha hiki sijui nini hamnaga . Tena mshirika mengine wana contract ya 3 yrs kufanya kazi mahala. Kimaro iwa uwezo wake inabidi asikae eneo moja muda mrefu. Inabidi atumike kubadili sharika zilizopinda . he's a resource. Akishaimarisha mahala apelekwe kwingine apaamshe.
 
Hayo maneno aliyosema Kimaro yakawakasirisha 'wakuu' huwa yanasemwa sana kwenye hizi sharika ambazo sadaka huwa ni milioni 1 ikizidi sana 2 kwa Jpili moja.
 
Tujikumbushe, projects kadhaa ambazo Mchungaji Dkt. Kimaro amezifanya akiwa Mchungaji Kiongozi, KKKT Usharika wa Kijitonyama,
1. School of Healing (Morning & Evening Glory) -Youtube Channel (mwanzoni ikiwa Eliona Kimaro TV baadae KKKT Usharika wa Kijtonyama) inayowafikia watu wote Duniani.
2. TAMASHA LA MBINGU KUJAA SIFA (kila mwaka)
3. Jengo jipya la Sunday School (lililogharimu yapata takribani 200m TZS)
4. Ununuzi wa Kiwanja pembezoni mwa kanisa yapata 300m TZS
5. Kusomesha yatima yapata 100
6. World Pray Online (WPO), Call Centre ya maombi masaa 24, siku 7 za wiki.

NB: Ikumbukwe waliokuwa wanasali hizo Morning & Evening Glory wengi hawakuwa waumini wa KKKT bali wa madhehebu mengine na Waislam kuondoka kwake Dkt Kimaro tutarajie mabadiliko kiasi.

***Mchungaji Kiongozi (Mpya) Anna apewe ushirikiano kuendeleza alipoishia Dkt Kimaro.


Huyu baba, aanzishe kanisa lake!
 
Uaminifu ni tabia isiyo na mahusiano kabisa na dini.. Labda umechanganya imani na dini..
Hata kwenye amri kumi za Mungu uaminifu hautajwi bali upendo kama amri kuu
Embu niambie ni Imani gani ya kidini ambayo huwa haiwasihii wafuasi wake Uaminifu. Achilia mbali zile imani zako za kichawi ulizostahafu kuzifuata.
 
Lilikua ni pandikizi ya watu wa malasusa na wengine wapo pale wanajifanya ni wanakwaya na wana praise and worship team ila deep down ni mapandikizi ya yule mzee

Muombe Mungu akuondolee roho ya mafarakano. Itakusaidia Sana kuondoa chuki na kuwa na upendo. Mchungaji kalitukana kanisa lake kwa kuliita kanisa la madalali , apewe adhabu gani? Aachwe aendeele kutukana. Tena anadai mbeleni mtakuja kunielewa.

Yule wampeleke Kimanzichana au Maneromango huko akatanyr kazi ya Bwana.
 
Huko kufa umekuandika wewe!

Subirini mdororo wa waumini na sadaka!

Aende tu, Mungu anajua walio wake na wasio wake. Hata wakiwa washirika watatu Mungu atasifiwa milele. Halafu, aliondoka Askofu Mwikali Mkuu wa Dayosisi, mbona Mbeya inaendelea na watu wanamtukuza Mungu. Nyie bakini kusifia mchungaji na kuliona KKKT haifai.
 
Mnatetea ujinga hadi mnajitoa ufahamu. Unatenganishaje uaminifu na dini wakati dini hiyo hiyo inatusihi tuwe waaminifu.

Sasa Kama dini inasema tuwe waaminifu, halafu wewe huwi mwaminifu. Utaitwa mkristo?. Ukristo ni kuuishi ukristo. Ukisema vijana wa kikristo sio waaminifu unajicontradict maana ukristo hauhamasishi vijana kutokuwa waaminifu.
 
Sasa Kama dini inasema tuwe waaminifu, halafu wewe huwi mwaminifu. Utaitwa mkristo?. Ukristo ni kuuishi ukristo. Ukisema vijana wa kikristo sio waaminifu unajicontradict maana ukristo hauhamasishi vijana kutokuwa waaminifu.
Wee ndio unajicontradict. Umeshasema uaminifu ni suala la mtu binafsi then hapo hapo unasema hauwezi kuwa mkristo bila kuwa mwaminifu. Sasa mkristo ni n'gombe au mtu?!!
 
Kumbuka Baraza la wazee ndio lenye kubeba yote, kazi zote hizo ulizotaja bila Baraza la wazee mchungaji hawezi hata iweje
Kwani baraza la wazee si lilikuwepo kabla yake ,mbona hawakuyafanya kwa wachungaji waliotangulia. Tuwe na roho ya shukrani kama waenda mbinguni, unless ni wasindikizaji
 
Back
Top Bottom