Namfuatilia Kimaro kupitia YouTube mwaka wa tatu huuMabadiliko gani????
KKKT hawana jumuiya?!!??KKKT
wao wanapungua nn? Mbona jamaa alikua mnyenyekevu? Ukristo wa kusoma liturjia mwanzo-mwisho uliwagharimu Roman ndo maana sasa hivi wameanzisha JUMUIYA full kutishana ili waumini zaid wasitoroke kwenda kutafuta kwingine
Mnaitukana KKKT na mnadai ameleta uhamsho, uhamsho wa matusi. Unafahamu uhamsho?. Uhamsho mnaandama mmevaa visuruari vya kubana?. Tena kanisani?. Be serious
Kweli au sio kweli? Kama ni kweli alipaswa kusifia gizani?Hizi project Ni minor Sana ukilinganisha na anachofanya mastai pale kimara korogwe Kuna shule na hospital na mall na hzo zote za evening na morning Glory
Alichonikera Ni sifa alizo wapa wakatoliki waswasi Tena mbele ya kwaya kwa kuwaita viongozi wetu kuwa Ni matapeli sijapenda hilo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wanazo na waliiga kwa WakatolikiKKKT hawana jumuiya?!!??
Mimi siyo muumini wa KKT nauliza hao wazee waliweza hayo yote kabla ya uwepo wa Kimaro hapo usharikani Kijitonyama?Kumbuka Baraza la wazee ndio lenye kubeba yote, kazi zote hizo ulizotaja bila Baraza la wazee mchungaji hawezi hata iweje
Kwenye hizi taasisi kuna namna huwa uongozi wa juu hawataki wa chini afanye makubwa yanahoonekana sana? Kisa cha likizo ya siku60 ni nn
Mnajikanganya eidha kwa makusudi au kutoijua imani ya Kikrìsto.Ego
Kimaro baada ya kupata mafanikio makubwa akaanza kiburi nabkuendesha kanisa kinyume cha taratibu na miongozo ya kanisa
Akipewa maonyo anakuja madhabahuni ni kuanza kunanga uongozi anaonewa na kuwatengenezea waumini picha kuwa hatakiwi
Umaarufu na kiburi vimemponza
Hajui kula na vipofu
Hapana Mwenyenzi Mungu Mtakatifu ndio shahidi wa Kweli DaimaTena chuki kubwa mnoo hapo wameshatafuta namna ya kumwangusha na hatokaa apate upenyo wa kuyafanya yale aliyoyafanya kijitonyama....labda aanzishe mwendo kivyake na si chini ya taasisi tena
Lete ushahidiEgo
Kimaro baada ya kupata mafanikio makubwa akaanza kiburi nabkuendesha kanisa kinyume cha taratibu na miongozo ya kanisa
Akipewa maonyo anakuja madhabahuni ni kuanza kunanga uongozi anaonewa na kuwatengenezea waumini picha kuwa hatakiwi
Umaarufu na kiburi vimemponza
Hajui kula na vipofu
Mnajikanganya eidha kwa makusudi au kutoijua imani ya Kikrìsto.
Inaonyesha mnaishi katika mapokea na litrujia.
Unapoihubiri imani ya kweli na sio mapokeo ya dini.
Huwezi kuhubiri imani ya kikristo kwa ajili ya kuwapendeza wakuu wa dini bali kumpendeza Mungu.
Kkkt wengu ni mambumbu katika imani
Lete ushahidi
Tabia ya wizi haihusiani na dini, wapokweli vijana wakristo wasio waaaminifu, lakini wapo pia wa kiislamu wasio waaminifu, yeye ni mchungaji, tena msomi, kuna namna ya kufikisha ujumbe bila kujumuisha waumini wote, ukisikiliza ile kauli imeongelewa kiujumla.Sasa kama kweli ni wezi angepaswa asemeje?
Tatizo siku 60 sio uhamishoHivi mchungaji kupata uhamisho ni kosa? Au sio utaratibu wa kawaida?
Tuache uchochezi wa kijinga.
RC mapadre hata maaskofu huhamishwa na hutasikia kelele