Projects za Mchungaji Kimaro akiwa KKKT Kijitonyama

Dk Shoo ameshanusa hivyo viwanja, anavitaka pamoja na dalali mwenzie askofu wa Dar es salaam

Walienda kuunza hotel mbeya Mwaikali akawagomea, wakaanzisha vita.

Wakakodi wapiga debe wa stendi, wakawaita wajumbe wa mkutano mkuu wa kumfukuza Mwaikali
 
Kuna Ile hoteli mbeya waliweka dhamana wakope bilioni kadhaa ili wajenge chuo kikuu. Shoo na wenzake baada ya kukopa, Hela haijulikani iko wapi

Baadae wanaenda mbeya na mteja wa kununua hotel, Mwaikali akawagomea, wakamuanzishia fujo na wakamfukuza
 
Dk Shoo ameshanusa hivyo viwanja, anavitaka pamoja na dalali mwenzie askofu wa Dar es salaam

Walienda kuunza hotel mbeya Mwaikali akawagomea, wakaanzisha vita.

Wakakodi wapiga debe wa stendi, wakawaita wajumbe wa mkutano mkuu wa kumfukuza Mwaikali
Mnaropoka msiyoyajua!
 
Wewe ongelea KKKT, kanisa Katoliki hatutingishwi na watu kuhama..ujue tu kuhama na kuondoka RC ndo kulisababisha hata hiyo KKKT ikawepo.RC tunamsemo wetu.."Mungu apiganie kanisa lake...ajipiganie mwenyewe' Sio waamini wampiganie Mungu ama Kanisa...wameishaondoka wengi lkn kwanza mdo huwa hata hatujali chochote na hatuumii kwa chochote sababu hakuna anajifeel kumiliki kanisa personally....

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Asijikweze kuwa juu zaidi ya taasisi..
 
Fuata utaratibu au quit,ukikaidi unatolewa baru,whatever alivyo ni Mali ya taasisi ya KKKT na Ina Mamlaka ya kuamua Juu yake,full stop

binafsi baada ya kuona siwesi fuata utaratibu nilishajitia kwenye makanisa yenu.
 
Taja hiyo misingi ya kanisa? Kimaro kama ni unyenyekevu kazidisha. Angekua mwingine angeshatoka kuanzia akiwa KARIAKOO maan nako haikua rahisi.
Lazima utii mamla iliyo Juu,full stop.
Uambiwe wewe kama nani? RC kule hakuna anayeweza hoji chochote ni amri tuu kutoka Juu,kama jeshini.
 
Tumsubiri huyo Mchungaji Msaidizi kama ataweza kuendesha hizo projects (maana nina uhakika pesa ilikua inatoka kwa waumini ambao wamestuka kwa Dkt Kimaro kupewa likizo na kuhamishwa Kijitonyama.
Projects zitadorara vyovyote vile, simjui sana kimaro ila the guy seems to be smart
 
Kimaro mwenyewe ashasema yupo tayari kwenda kufanya kazi kokote ambako atapangiwa aende.
Hii ndiyo maana ya Mchungaji.

Na kama wamemuhamisha kwa lengo la kumshusha,hawataweza.
Mungu akishamuinua mtu,hakuna mjinga yeyote atamshusha.
Na hili tukio litazidi kumpaisha jamaa .

KKKT uongozini kuna mambo ya hovyo sana.
 
Waigeni Wakatoliki. Wakatoliki Padre akifanya vizur huwa anahamishiwa sehemu ngumu ili akalete mabadiliko na kwa utii anaenda. Sasa KKKT hadi maandamano ndio nini sasa. KKKT ni taasisi.
 
Watu mnasali kwasababu ya Kimaro mnagoma mpk kwenda morning glory’s kisa kimaro hayupo

Kwl bora nianze kuabudu mizimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…