Projects za Mchungaji Kimaro akiwa KKKT Kijitonyama

Projects za Mchungaji Kimaro akiwa KKKT Kijitonyama

Sahihi Sana Hilo ,alijisahau Sana Hadi kuanza kuwasifu wakatoliki na waisalmu hadharani eti ,roma Catholic wako vzr so wat aende uko sasa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwani uongo alisifia kuwa Roman Catholic wako vzr sana katika umisionari na ni kweli . Sijaona kosa lake. Kusifia kizuri ulichoona kwa jirani yako ni vibaya?
Sahihi Sana Hilo ,alijisahau Sana Hadi kuanza kuwasifu wakatoliki na waisalmu hadharani eti ,roma Catholic wako vzr so wat aende uko sasa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sijaona alipokosea. Kimsifia jirani yako ni kosa?
 
Kwani uongo alisifia kuwa Roman Catholic wako vzr sana katika umisionari na ni kweli . Sijaona kosa lake. Kusifia kizuri ulichoona kwa jirani yako ni vibaya?

Sijaona alipokosea. Kimsifia jirani yako ni kosa?
Mambo n mengi sana ila wakati hujawahi sema uongo
 
Nimekufuatilia sana nikagundua wewe mfia kkkt na haukubaliani ma mabadiliko ya kiroho.
Bado unaipenda kkkt iliyodumaa kiroho na hukupendezwa na huduma za uamsho za Kimaro.
Nimekugundua kuwa umhafidhina na sio imani sahihi ya Kikristo.

Kkkt ni dude kubwa ambalo halina msaada katika jamii bado lipo kuwanyonya wa kkkt kimapato ilhali mrejesho katika jamii ni hafifu sio kiriho wala kimwili.

1. Shule za kkkt ziko kipigaji ma ziko taabani
2. Hotel ya corodor spring wakunwa walipiga zaidi ya 3B waumini wamechangishwa karibu wafe na wakakimbia walio wengi.

3. Selian hospital nahitaji kusema zaidi?

Bora Kimaro mara 1000 kuliko hao wachungaji na maaskofu vihiyo.
Huyo ni wale wazee wa liturgia!
 
Hizi project Ni minor Sana ukilinganisha na anachofanya mastai pale kimara korogwe Kuna shule na hospital na mall na hzo zote za evening na morning Glory

Alichonikera Ni sifa alizo wapa wakatoliki waswasi Tena mbele ya kwaya kwa kuwaita viongozi wetu kuwa Ni matapeli sijapenda hilo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwani ni uongo?

Katolic wako strong mzee! Hata ukimuuliza Malasusa au Shoo watakwambia hivyo.

Kosa kubwa la hapa tanzania ukiwa msema ukweli.

Hicho pia kilimgharimu Magufuli, kuongea ukweli.
 
Wamemuona ni threat
Threat! acha haya mawazo mkuu, yani Kimaro awe threat kwa KKKT? amezaliwa akalikuta akanisa, ataondoka ataliacha kanisa, kama amefanya makosa awajibishwe, kama yanaongleka yaongelewe na ajirekebishe.
 
Kwa waislam hapo umepuyanga maana ibada za waislam na wakristo tofauti kabisa tafuta kingine cha kudanganya
 
Tujikumbushe, projects kadhaa ambazo Mchungaji Dkt. Kimaro amezifanya akiwa Mchungaji Kiongozi, KKKT Usharika wa Kijitonyama,
1. School of Healing (Morning & Evening Glory) -Youtube Channel (mwanzoni ikiwa Eliona Kimaro TV baadae KKKT Usharika wa Kijtonyama) inayowafikia watu wote Duniani.
2. TAMASHA LA MBINGU KUJAA SIFA (kila mwaka)
3. Jengo jipya la Sunday School (lililogharimu yapata takribani 200m TZS)
4. Ununuzi wa Kiwanja pembezoni mwa kanisa yapata 300m TZS
5. Kusomesha yatima yapata 100
6. World Pray Online (WPO), Call Centre ya maombi masaa 24, siku 7 za wiki.

NB: Ikumbukwe waliokuwa wanasali hizo Morning & Evening Glory wengi hawakuwa waumini wa KKKT bali wa madhehebu mengine na Waislam kuondoka kwake Dkt Kimaro tutarajie mabadiliko kiasi.

***Mchungaji Kiongozi (Mpya) Anna apewe ushirikiano kuendeleza alipoishia Dkt Kimaro.



Kijitonyama ipo na itaendelea kuwepo. Yeye aondoke tu.
 
Mseme, msiseme. Kila taasisi duniani ina taratibu na miongozo yake. Huyu mchungaji hakuondolewa kwa bahati mbaya. Kuna maneno amehubiri yasiyofaa kwa utaratibu wa kanisa lake.
Ni muhimu tujue kuwa mahubiri ya mihemiko wakati mwingine huwa hayatakiwi na kanisa kulingana na sera na taratibu zao.
Ile ni taasisi. KKKT. Ndio kaondoka. Anayetakanaondoke nae.

Kanisa Katoliki yanawakumba. Askofu Milingo wa Zambia wa Katoliki alianza hivyo akaondokewa akaishia kuanzisha kanisa lake.

Kila taasisi ina siri, mbinu, majukumu na kila kitu. Ukikengeuka unaondolewa tu.

Nani alijua Zito angetoka CHADEMA.
Tutajie hayo maneno
 
Kwani ni uongo?

Katolic wako strong mzee! Hata ukimuuliza Malasusa au Shoo watakwambia hivyo.

Kosa kubwa la hapa tanzania ukiwa msema ukweli.

Hicho pia kilimgharimu Magufuli, kuongea ukweli.
Inawezekana amesema ukweli ila kama ulivyosema Tanzania, japo nadhani ni duniani kote, huwezi kuwa ndani ya Taasisi fulani halafu ukaanza kuipaka matope, kuwaita unaowaongoza (vijana wa Kikristo) kwamba ni wezi, hutaki hata kuwaajiri kwenye kazi zako, mzee unafanya nini kwenye hiyo Taasisi yenye wezi na matapeli? tena unakula mishahara yao na mafungu ya kumi kutoka kwa watu unaowaita wezi?
 
Threat kwa Nani?. Acheni kukuza mambo. Huyo kalitukana kanisa ndio maana kasimamishwa. Hayo mengine ni kujifichia tu.
Nashangaa wanaosema eti ni threat, hawezi kuwa threat kwa Taasisi kubwa kama KKKT, na hakuna atakeyekuwa threat daima.
 
Kwenye hizi taasisi kuna namna huwa uongozi wa juu hawataki wa chini afanye makubwa yanahoonekana sana? Kisa cha likizo ya siku60 ni nn

Hayo umesema wewe. Sababu ni kulitukana kanisa na hiyo ndio chanzo. Huwezi kuliita KKKT kanisa la madalali.
 
Back
Top Bottom