econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Taja hiyo misingi ya kanisa? Kimaro kama ni unyenyekevu kazidisha. Angekua mwingine angeshatoka kuanzia akiwa KARIAKOO maan nako haikua rahisi.
Si atokeee, ahamie masjid munawara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taja hiyo misingi ya kanisa? Kimaro kama ni unyenyekevu kazidisha. Angekua mwingine angeshatoka kuanzia akiwa KARIAKOO maan nako haikua rahisi.
Chuki ipi, aanzishe KKKT yake kama Dr. Mwaikali.....Tena chuki kubwa mnoo hapo wameshatafuta namna ya kumwangusha na hatokaa apate upenyo wa kuyafanya yale aliyoyafanya kijitonyama....labda aanzishe mwendo kivyake na si chini ya taasisi tena
Eti wengine wakajidai kuzimia UJINGA bwana....Hii dhana ya ukubwa kuliko taasisi kwani kanisa ni mali ya mtu,au genge la watu?. Kanisa sio jengo, ni mwili wa Kristo ambapo watu wenye imani juu Kristo wanaamua ku team up na kumtafuta Mungu hata kwa kupapasa wakamwone sasa kuwa na kiongozi mwenye kuonyesha njia imekuwa nogwa?. Mwenye kanisa ni Mungu, mwenye roho za watu ni Mungu.
Sikawasifia? mpeni no. ya sheikh kipozeo tuachie KKKT yetu salama...Nimekufuatilia sana nikagundua wewe mfia kkkt na haukubaliani ma mabadiliko ya kiroho.
Bado unaipenda kkkt iliyodumaa kiroho na hukupendezwa na huduma za uamsho za Kimaro.
Nimekugundua kuwa umhafidhina na sio imani sahihi ya Kikristo.
Kkkt ni dude kubwa ambalo halina msaada katika jamii bado lipo kuwanyonya wa kkkt kimapato ilhali mrejesho katika jamii ni hafifu sio kiriho wala kimwili.
1. Shule za kkkt ziko kipigaji ma ziko taabani
2. Hotel ya corodor spring wakunwa walipiga zaidi ya 3B waumini wamechangishwa karibu wafe na wakakimbia walio wengi.
3. Selian hospital nahitaji kusema zaidi?
Bora Kimaro mara 1000 kuliko hao wachungaji na maaskofu vihiyo.
hapa ndio napata mwanga ni kwanini kitu kinachoitwa protestants kilipotokea.Mtu kama huyu akiamua kujiengua na akaanzisha dhehebu lake wafuasi wengi wanamfuata.Hapa ndio dini za kikristo zinapochemshaga na ndio utitiri wa madhehebu unapotokea waslam wao hawako hivi kivile japo nao wana madhehebu yao lakini sio kwa kasi kama ya wakristoTena chuki kubwa mnoo hapo wameshatafuta namna ya kumwangusha na hatokaa apate upenyo wa kuyafanya yale aliyoyafanya kijitonyama....labda aanzishe mwendo kivyake na si chini ya taasisi tena
So unataka kusema hapa Robert Greene alituingiza chaka kiaina.Never outshine your master, terrible rule! The master has to learn from me.
Hlafu nina mshaka hawa wote wanaojitokeza kwenye maandamano ya kumuunga mkono ni hao VIJANA waaminifu anadai kawaajiri....Sahihi Sana Hilo ,alijisahau Sana Hadi kuanza kuwasifu wakatoliki na waisalmu hadharani eti ,roma Catholic wako vzr so wat aende uko sasa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mzazi/mlezi akiwaambia kwenye kikao cha familia/ukoo kwamba nyie sio waaminifu kama watoto wa fulani mtamsusa na kumpasua?Alijisahau Sana Hadi kuanza kuwasifu Wakatoliki na Waisalmu hadharani eti ,roma Catholic wako vizuri aende uko sasa...
Ajiengue tu, hata Mwaikali alijiengua, yuko wapi??? KKKT bado iko imara, hawa wanataka kuanzisha "MAMLAKA" ndani ya mamlaka, hilo haliwezekani...hapa ndio napata mwanga ni kwanini kitu kinachoitwa protestants kilipotokea.Mtu kama huyu akiamua kujiengua na akaanzisha dhehebu lake wafuasi wengi wanamfuata.Hapa ndio dini za kikristo zinapochemshaga na ndio utitiri wa madhehebu unapotokea waslam wao hawako hivi kivile japo nao wana madhehebu yao lakini sio kwa kasi kama ya wakristo
Hao Catholic wana yao wala sio kusema Eti labda ni vipi!
Halafu hoja ni kwamba walishapita wachungaji wengi sana kabla ya yeye kupelekwa hapo Kijitonyama, lakini kwa kuangalia historia na muda ni kuwa yeye amefanya mambo mengi mazuri sana .
Tifuaneni vizuri lakini msilihusishe Kanisa Katoliki katika mtifuano wenu.Umenielewa nilichosema au umekurupuka kunijibu. Punguza hasira.
Kumbe shida ni PROJECT!!!Tumsubiri huyo Mchungaji Msaidizi kama ataweza kuendesha hizo projects (maana nina uhakika pesa ilikua inatoka kwa waumini ambao wamestuka kwa Dkt Kimaro kupewa likizo na kuhamishwa Kijitonyama.
Tukubali Kimaro Ni jembe. Kabla yake aliyekuwepo Kijitonyama alifanya mangapi? Baada ya kuondoka Kariakoo Hali ipoje Sasa?
Tifuaneni vizuri lakini msilihusishe Kanisa Katoliki katika mtifuano wenu.
Kwahiyo kilichowakasirisheni sana ni yeye kusifia Wakatoliki na Waislamu? Hampendi kuambiwa ukweli waamini wa KKKT?Alijisahau Sana Hadi kuanza kuwasifu Wakatoliki na Waisalmu hadharani eti ,roma Catholic wako vizuri aende uko sasa...
Achana na wavaa kobazi wamepata kiki, mchukueni kwa mtoro akake na MAZINGE...Kanisa sio siasa!ama mtu kutafuta umaarufu
Kwahiyo unataka kusema bila yeye usharika huo,unakufa na hauwezi kuendelea?sio kweli Huwa inafika wakati sharika kukua na hapa nasisitiza bila Baraza la wazee kuamua,kuwa na Nia Moja hakika ni ngumu kuendelea
Sasa kuwasifu Waroma na Waislamu ni kosa? Kwani si ni binaadamu tuu kama sisi. Mbona hizi dini zinavuruga sana wapokeaji kuliko hata waliozileta?Alijisahau Sana Hadi kuanza kuwasifu Wakatoliki na Waisalmu hadharani eti ,roma Catholic wako vizuri aende uko sasa...
Loh! kwahiyo unamtafuta Yesu kristo kwa ku-search you tube!!! Rwanda mauaji ya kimbari makanisa yote yalichomwa kwahiyo na Yesu aliungulia humo.... acheni ushamba... injili itabaki kuwa injili si mtu..Usharika hautakufa asilani. Ila hauwezi kuendelea kama sasa. Leo EVENING GLORY haikurushwa Youtube kulikoni?