Prondo na donluchese vyuma vimekaza? Mbona sisikii tena story za magar

Jamaa.
Naappreciate sana namna unavyotazama mitazamo ya watazamaji maisha ya wenzao.
 
Kumbe ni wewe...
Nakusalimia tuu, mbona sijawahi ona hizo maselfie jamani
 
Mmmh kuna raia wanapenda shades,hivi unatake a time kumfuatilia mtu anachopost kila mara unafaidika nini ili hali wengi humu hatujuani.
 
Mmmh kuna raia wanapenda shades,hivi unatake a time kumfuatilia mtu anachopost kila mara unafaidika nini ili hali wengi humu hatujuani.
Acha kuingilia ugonvi wa ndugu chukua jembe ukalime
 
Acha kuingilia ugonvi wa ndugu chukua jembe ukalime
Aisee labda hujanielewa vizuri swali langu najua hii ni chitchat but nimesoma na nikabidi nifikirishe akili yangu hivi inakuaje unamfuatilia mtu ambaye humjui au hakujui.
 
Aisee labda hujanielewa vizuri swali langu najua hii ni chitchat but nimesoma na nikabidi nifikirishe akili yangu hivi inakuaje unamfuatilia mtu ambaye humjui au hakujui.
Unaelewa maana ya ndugu kweli wewe?

Unaweza ukawa na ndugu ambaye humujui
 
Unaelewa maana ya ndugu kweli wewe?

Unaweza ukawa na ndugu ambaye humujui
Ohoo basi kama wewe una undugu na hao uliowataja vizuri! endelea kuwafatilia nduguzo,ngoja nichukue jembe nkalime mie hahahah
 
Herufi mbili za mwanzo za RRONDO ni identical in every sense, inakuwaje sasa mtu anaikosea ya kwanza ila ya pili anaisoma sawa? Ningeelewa kama wangekuwa wanakosea zote mbili (PPONDO, BBONDO). Ukijumlisha jina lenyewe fupi, liko kwa herufi kubwa, shida ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…