Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Jamaa.Life is all about being positive,dreaminng big and things like that. Bahati mbaya JF siku hizi imejaa watu negative, watu wanaopenda kusikia mtu anapata shida,ana njaa na mambo kama hayo.
Mtu akipost kitu kizuri watu wanaumia sana roho inashangaza sana.
Vyuma havijakaza ila sio vizuri kuikera jamii, wacha tuburudike na kusikia mateso ya wenzetu. Btw mwisho wa mwaka huu sijui niende Dubai au SA!
Naappreciate sana namna unavyotazama mitazamo ya watazamaji maisha ya wenzao.