Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

...ukiulizwa ni vipi Mungu mwenye uwezo wote ,na upendo wote ni kwanini aliumba Ulimwengu kwenye mapungufu hivi...na akamuumba Shetani mpinzani wake utajibu mini.

.....ukinisoma kwenye mistari utaona hoja yako ni sawa na hii ya story za bible na quran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
katika mada hii mimi nipo pamoja na ninyi. sio kwamba naunga mkono simulizi za kwenye bible, la hasha.

kwa mfano huwa najiuliza kwanini andiko liseme na "tumfanye mtu kwa mfano wetu.."badala ya nimfanye mtu kwa mfano wangu.

kumbuka bible huwa inatufundisha kuwa Mungu ni mmoja tu, sasa huo uwingi unatoka wapi?.

hapo ndio tafakuri kuhusu aliens inapochukua nafasi.
 
 
..ukiulizwa huyo Mungu aliumbwa na nani utajibuje mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mada ipo nje ya maandiko hivyo tusichanganye mambo tofauti na lengo la mtoa mada ambae naamini hajaingilia mhimili wa imani ya mtu ila watu wengi wameuliza sna swali lako katika mabandiko ya kidini na hakuna alietoa jibu hivyo basi ukisoma sana utajikuta unajiuliza hao viumbe nani kawaumba na je mungu nani kamuumba?! Hivyo nadhni tujikite kwenye mada zaidi
 
Mkuu kuna kitabu chochote unakijua kinahusu Hawaii viumbe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma kitabu cha mwanzo chote kimeeleza hiki kitu vizur sana Mungu hakuwa peke yake wakati anaumba
 
Uwepo WA aliens mi naamini ila kusema ndio waliotuumba so kweli,wao wanauwezo mkubwa Tu WA ki maarifa lakini sio kuwa ndio waliotuumba,kuna wengine wanahisi ni viumbe vyenye genes za kishetani na kuna baadhi ya maeneo wameshaanza kuzaliana na binadam km Marekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila unajua inaukomo wa umbali wakati inahakiki mwendo wako?!
Hivyo jua kile kipimo ukomo wake umefikia kwa hapo miaka billion kadhaa bado hakijathibitisha umri sahihi na ndio maana katika taarifa zao wanaeema inakadiriwa miaka bilioni........
 
Mkuu kuna kitabu chochote unakijua kinahusu Hawaii viumbe

Sent using Jamii Forums mobile app
kupitia hidden doctrine nimepata kujua kias flani hawa viumbe mkuu..

pia kuna mazingira ambayo binafsi niliyashuhudia ...

Mpaka ukutane na paranormal events za hao viumbe ndo unaweza pata muda na apetite ya kutafuta siri zao...

serikali zote zinaficha uwepo wa hao viumbe .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi Kwa uelewa wangu mdogo, Aliens, dragon,na mazombi Hawaii ni viumbe ni ngumu kuonekana Kwa sasa,Ila ni viumbe watakaokuwa wanatumika kipindi cha New World Order katika kufanikisha mambo mbalimbali,movie za leo zimejaa uchawi na mazombi,si Kwa bahati mbaya just kukukna brainwash we home ni kitu cha kawaida Tu,hao aliens KAZI zao ndo kama hivyo kuwezekana teknolojia na mipango kutimia,mfano watakuja na uwezo WA kujua Quinine Mwitu Yuko Dar sehemu Fulani kulitia microchip ambazo utadungwa kupitia dawa unazomeza,chanjo za kila leo mara ndui NK vitu unavyojiuliza mbona huko ulaya hawana hizi chanjo,Au kupitia GPS za simu yako aidha Kwa kujua au kuto kujua simu yako inawapelekea location ulipo,sasa ikitokea Quinine Mwitu amekuwa liberious au hataki kutii namalaka iliyopo hyo ya New World Order hapo ndo atatumiwa mazombi yamteketeze au madragoni nk,Kwa sasa aliens unaweza usiwaone Ila wanatumika majukum Yao na kuna Siku watakuwa hadharani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali wamekuwa programmed Ku pave ways Kwa ajili ya Hawaii viumbe,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…