Natamani utambue kuwa mm ni mburula mmoja ambaye sijui hizo terminologyNatural creatiin iko guided by factor control flani ambayo inaruhus viumbe wote wapitie sequence( consider about spiral continum iliyojaribu kuelezewa ) kwenye fibonacci number and life regression codes ambazo zinatolea ufafanuzi kwenye DNA analysis
Sent using Jamii Forums mobile app
😀 😀 😀 mkuu unazinguaNatamani utambue kuwa mm ni mburula mmoja ambaye sijui hizo terminology
Hapana mkuu tatizo unashuka nondoo ambazo ni ngumu kwangu [emoji4] [emoji4] [emoji4]
haya ..ulitaka tuongelee evulution ipi kwa mfano labda twende kwenye maadaHapana mkuu tatizo unashuka nondoo ambazo ni ngumu kwangu [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Ile iliyotokea naturallyhaya ..ulitaka tuongelee evulution ipi kwa mfano labda twende kwenye maada
Sent using Jamii Forums mobile app
Chanzo cha uhai ni nini ?
hapo kuna nadharia ya kibiblia ambayo inaseChanzo cha uhai ni nini ?
huwezi kuconclude kuwa tumeumbwa na Mungu wakati kuna posibility ya wew kuumbwa na wwngine...hapa napo kuna shida kidgo..only higher life forms can ague about their presence ,not you..Chanzo cha uhai ni nini ?
Nilitaka nikuulize swalii kama hilo ...ila yule jamaa anayesema maisha dunian yaliletwaa kutoka sehemu nyingine naweza kwenda nae kijiweni ili atuelezee vzurhapo kuna nadharia ya kibiblia ambayo inase
a kuwa mungu aliamuru uhai kwa viumbe ila inashindwa kuelezea kinaga ubaga..
lakini kisayansi pia inajaribu kuelezea kupitia cosmological DNA reprogression ..
Lakini bado kuna utata juu ya chanzo cha uhai..
Ndo mana CERN project moja ya ajenda zao ni kutafuta chanzo cha nguvu iliyoseti mambo yote kuanza..
Lakini mkuu ukifuata mlolongo huo unakujs kugundua kuwa je viumbe wanaosadikika kuwa na maisha sayari zingine waliumbwa na nani..??
Kuna maswali mengi snaa hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
inawezekana vizuri mno mkuu.Nilitaka nikuulize swalii kama hilo ...ila yule jamaa anayesema maisha dunian yaliletwaa kutoka sehemu nyingine naweza kwenda nae kijiweni ili atuelezee vzur
Nmekusomaainawezekana vizuri mno mkuu.
.kitu gani kigumu hapo..??
Kama unaweza hamisha makao toka nchi kavu hadi baharini unashindwaje kuamini kuwa dunia iliandaliwa kwa ajili ya kuplant{ kupandikiza maisha ya viumbe (organism) huku..
Kila nadharia inakuwa na nguvu katika kujitetea..
Leo hii tunaona United State of Emirates [Uarabuni] wanageuza jangwa{ desert} kuwa bahari na bichi za kupunga upepo huoni kuwa the universe is too flexible katika kuruhusu reprogression and recreation ya maisha ya viumbe au kiumbe yoyote??
Mkuu mazingira yanaandaliwa mkuu..huwezi amini jambo kubwa halafu ukakataa jambo dogo wakati jambo kubwa limeundwa na jambo ndogo ndogo..
Bigger things never exist if not made by smaller things..
Nothing big expresses itself unless small one aside to make the big exist..
kwa lugha ya kawaida tunasema vitu vidogo huunda vitu vikumbwa..
kama umeweza kugeuza mazingira. ya jangwa ambayo yalishindwa kusapoti mimea ijue sasa hivi yanasapoti ,utashindwaje kuamininkuwa maisha ya hapa duniani yaliandaliwa..;!
Tupo kwwnye giza nene ambalo wachache wamepata kuelewa jinsi Matrix of life ilivyo..
Tupo kwenye universal matrix ambayo imeweka mitego mingi kwa viumbe wake.
Ukiweza kujinasua na huu mtego basi utakuwa umevuka ng'ambo kubwa snaa kiuelewa..
Everything is simulation ..everything can be recreated in any form else where in this universe ,only to understand the universal matrix how it is composed
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante..Nmekusomaa
@lifecoded hii inanipelekea niwaze kuwa nchi zenye number kubwa ya allien ndio technology kubwa labda?
mkuu sio swala la kuuliza..pigia mstari...@lifecoded hii inanipelekea niwaze kuwa nchi zenye number kubwa ya allien ndio technology kubwa labda?
mkuu sio swala la kuuliza..pigia mstari...@lifecoded hii inanipelekea niwaze kuwa nchi zenye number kubwa ya allien ndio technology kubwa labda?
Hii series nimeanza kuiangalia now.,kama hutojali naomba unipe list ya series zenye mambo ya utata* maana napenda sana haya mambohatari sana mkuu,mtafute mtu mmoja anaitwa Nick Wauters ndo aliyeiruhusu ile movies kutengenezwa,yani unaambwa movies au series zake zilikuwa na utata snaa ..
Tafuta series yake moja inaitwa THE 4400 ni balaa
mpaka ilfungiwa mwka 2007..
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ukimaliza hiyo nambie mkuu..Hii series nimeanza kuiangalia now.,kama hutojali naomba unipe list ya series zenye mambo ya utata* maana napenda sana haya mambo
Sent using Jamii Forums mobile app