Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Kuna ushahidi wowote wa kuwepo aliens? Na DNA sequence ya alien waliipataje? Hii ya binadamu ina miaka 15 tu toka iwe fully sequenced na kuna viumbe vingi sana ambavyo tunavyo kwenye mazingira DNA sequence zao hazijakamilika kuwa sequenced mpaka leo hii. Hii DNA sequence ya alien ambaye hamna uhakika wa uwepo wake imepatikanaje? Lini? Naomba link yenye hii taarifa ya DNA sequence ya alien.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kiongozi fikilia ñje ya kuugua kwa sababu ya kelele sijui za mitambo unavyofikilia..

Snowden mwenyewe alikimbia kwa sababu aligundua at the end of the day walikuwa wanamfanya apate mental palsy...

Wale jamaa kukufanya upate cerebral mental palsy ni kitu cha kawaida..lengo ukose mwanya wa kuja kusimulia mengi uliyoyaona...

Ndo mana anatapatapa kutafuta nchi itakayomhifadhi kwa masharti ya kuomba atawasaidia baadhi ya nyaraka za siri..

Babake mwenyewe snowden alikuwa afisa wa ngazi za juu katika idara ya upelelezi marekani ,sasa uliza kilichompata babake Snowden kipindi kastaafu ...

unajua ni ujumbe upi alimwandikia mwanae Edward akiwa bado masomoni kuhusiana na namna ya kufanya kazi na shirika hiko la kijasusi ??

ndo mana nakwambia kuna mengi ya kudig brother...

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna anayebisha kuwa kuna mengi ya kudig!
Hoja yangu ilikuwa eneo la wataalamu kuishia kuwa wagonjwa baada ya kuzitumikia hizo taasisi ulizozitaja pamoja na mambo aliens nk. Usichokijua ni nadharia. Sanyansi vs Imani (Muumba). Lipi linanguvu?
 
kwa hiyo unakataa kuwa serikali ya marekani haijihusishi na mambo ya Mental abduction kwa watu wake hasa baadhi ya idara nyeti..??

umekataaa kabsaa au unataka proof...??

unaweza ukanambia kwanini edward Snowden aliamua kukimbia out from CIA commision...??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ushahidi wowote wa kuwepo aliens? Na DNA sequence ya alien waliipataje? Hii ya binadamu ina miaka 15 tu toka iwe fully sequenced na kuna viumbe vingi sana ambavyo tunavyo kwenye mazingira DNA sequence zao hazijakamilika kuwa sequenced mpaka leo hii. Hii DNA sequence ya alien ambaye hamna uhakika wa uwepo wake imepatikanaje? Lini? Naomba link yenye hii taarifa ya DNA sequence ya alien.

Sent using Jamii Forums mobile app
In 2016, NASA sequenced DNA in space for the first time. The agency has been exploring ways to make the technology better suited for space exploration.

na walifanya mambo mengi sana na mengine walipublish wakafuta tena...nikipata link yake nitakutag make haiko gooogle kama unavyofikilia...

these informations are difficult to find them sometimes...

ngoja nitatafuta source yake alafu nitakutumia pdf...

Sikatai na wala si kubali. Hata hizi za kwetu hufanya hivyo kwa staili tofauti tofauti pale inapoonekana mhusika ni risk kwa faida ya kesho ya Nchi na watu wake. Ingawa muda mwingine kwa masilahi ya mtu mmoja mmoja kwa maislahi ya fedha au madaraka, au Kikundi kwa masilahi yao.
 
NASA kuna mambo mengi wanaficha lakini kuna baadhi ya source zinaelezea ALIENS DNA sequence imefanyika miaka ya nyuma na kuficha majibu yake...

ni wachache sana waliopata access na most of people waliohusika kwenye hiyo mambo walirun mental problem...

ndo hapo watu wanajiukiza kwanini walirun mental deficity..??

what special results did they querel..??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikatai na wala si kubali. Hata hizi za kwetu hufanya hivyo kwa staili tofauti tofauti pale inapoonekana mhusika ni risk kwa faida ya kesho ya Nchi na watu wake. Ingawa muda mwingine kwa masilahi ya mtu mmoja mmoja kwa maislahi ya fedha au madaraka, au Kikundi kwa masilahi yao.
sasa kwanini unakataaa kuwa haiwezekani..?? sema unabisha kwa sababu hujapata access ya document ile...

sisi waafrica tunapenda kubisha kwa sababu tunakuwa hatujapata access ya ukweli wenyewe..

unaweza ukaraise comments zako juu ya hilo simlly because hujapata ukweli ukivyo ..

nataamani upate real document ya results baada ya kufanya sequenciation ya DNA bases ndo ungeweza kupata mwanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In 2016, NASA sequenced DNA in space for the first time. The agency has been exploring ways to make the technology better suited for space exploration.

na walifanya mambo mengi sana na mengine walipublish wakafuta tena...nikipata link yake nitakutag make haiko gooogle kama unavyofikilia...

these informations are difficult to find them sometimes...

ngoja nitatafuta source yake alafu nitakutumia pdf...

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitashukuru sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa kwanini unakataaa kuwa haiwezekani..?? sema unabisha kwa sababu hujapata access ya document ile...

sisi waafrica tunapenda kubisha kwa sababu tunakuwa hatujapata access ya ukweli wenyewe..

unaweza ukaraise comments zako juu ya hilo simlly because hujapata ukweli ukivyo ..

nataamani upate real document ya results baada ya kufanya sequenciation ya DNA bases ndo ungeweza kupata mwanga

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimechangia kama unavyohoji na kuchangia wewe! . Na hilo la Docoment jiulize zinatoka kwa nani? Binadamu? Ndiyo au hapana ? Je kwa faida ya nani ?
 
we need some proof on that...

tatizo ni hayo mapokeo tunayopewa na watu...open up your mind kuhus uwepo wa mungu...

dont afraid kuuliza uwepo wa mungu kwenye kichwa chako..

dont limit ever your mind to find more proof in that...

utakuwa mtumwa wa jambo lisiloonekana...

the proof ya kusema kuwa mungu yupo ni kwa sababu umezungumzwa na biblia ambayo aliyekuletea yeye kashaiacha miaka mingi...

Una habari kuwa tumebaki tu huku Africa tunaoamini juu ya bible..??

una habari ulaya habari za bible hazipo tena..?

unajua ulaya makanisa hayaoperate kivile..??

una habati ulaya wanaosali ni wachache sana..

Nitakupa mfano hai..

nenda ujeruman kuanzia Western part ,earst mpaka sehemu zingine,no churches,there are few churches na kuwa muumini wa dini yoyote Ujerumani ni gharama kubwa sana..

most makanisa ulaya waumini wake ni members from secret societies ,kwanini ???

waaulize wazungu kwanini kuwa muumini ni gharama kubwa...they will tell you kwanini wanadeviate from bible teachings...

Halfu kitu kingine naomba nikwambie kitu..kati ya mtu mweupe na wew nani kawahi kuwa civilized??

whites or you?

sio kwamba nawakubali waznungu,hapana nataka upate picha halisi..

huwezi ukakurupuka tu ukasema wazungu wameacha mafundisho ya bible ni wajinga??

sio kweli..kama wao walidesign bible wakakuletea ukapata kuamini through those writtings huoni kuwa wameshamove stage nyingine..??

If so,kati ya mtu mweusi na ngozi nyeupe ni yupi ambaye anaishi maisha mazuri in relation na life inavoenda..??
think more on that..

huwezi ukawaona wapumbavu wakti wanakuongoza kwa kila kitu...

Aliyekuzidi kakutangulia pia..
think more on that...

dont be stiff naked to know the reality how the truth dances with the original tunes...

Sent using Jamii Forums mobile app

NO MORE COMMENTS, MUNGU AKUSAMEHE, AKUREHEMU NA KUKUSAIDIA as long as Time will Tell!
 
Kodi zitusumbue, na haya mambo ya aliens yatusumbue. This is too fucking big
Nimeipenda hiyo ya kodi lakini hakuna ubishi Lifecoded ametupa elimu nzuri sana ya masuala ya DNA. Wengine siyo wataalamu wa sayansi lakini tangu utotoni, ilionekana wazi kuna kitu somewhere and at sometime hakikuenda right kabisa. Ngoja tu twende mdogo mdogo labda wajukuu zetu watakuwa wameshapata majibu ya masuala haya yanayoumiza vichwa.
 
hayo ni mawazo yako ,usijifanye Mungu Mtu kwa kujudge wengine...

how sure are you with your illusions..??

Sent using Jamii Forums mobile app
Wote wanaoandika mambo magumu hasa ya kiuchunguzi humu JF wanakutana na matusi mengi. Inasikitisha sana kuona watu hawataki kupanua wigo wao wa kufikiri. Hawajui hata hayo wanayoyaamini hayakukubalika mara moja bali yalikumbana na upinzani mkubwa. Ajabu ni kuwa, hizi ideas zinazipingwa, pia zimeletwa na hao hao walioleta zile ideas/Imani tulizozikubali.
 
ni kweli mkuu,ngoja twende taratibu penginr watu wataanza kupata mwanga kwa badae...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom