Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Nimemsikiliza Godbless Lema akihojiwa na Dw kuwa kuna kundi la vijana 200 wamepelekwa Arusha ili wakakipigie kura CCM. Anadai amewaona. Sasa kama mgombea ubunge umeona tukio kama hili kwa nini usitoe taarifa ya maandishi kwa msimamizi wa uchaguzi na badala yake unaongea tu DW?
Kuna habari zingine zinaenezwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa magari ya jeshi yanasambaza mabox ya kura yaliyojaa karatasi zimewekewa tick. Mbona hatuoni picha wala video clips za hayo magari?
Kama kila chama kina wakala waliyemuamini na kisha akala kiapo kulinda kura za chama chake,sasa hizi habari za kuweka maboksi yaliyojaa karatasi zenye tick zitawezekana vipi?
Dalili za mvua ni mawingu,hii ni dalili tosha kuwa upinzani unaenda kushindwa mapema na kwa kura nyingi , 95% ya kura za urais na ubunge zinakwenda CCM, kuzalisha propaganda zisizo na mashiko haziwezi kusaidia upinzani. Jambo la msingi ni kujiandaa kisaikolojia kukubali matokeo. Maana posho za ubunge mlizizoea na mkadhania mtakuwa wabunge wa maisha.