Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
- Thread starter
- #41
Ana kesi sita za uchochezi,uchaguzi ukiisha anaanza kubanwa.Watanzania wamemkataa na anamakosa mengi anakimbia kesi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana kesi sita za uchochezi,uchaguzi ukiisha anaanza kubanwa.Watanzania wamemkataa na anamakosa mengi anakimbia kesi
Ndiyo maana kila saa hapa nasema kuwa una funza kichwani badala ya ubongo.Labda ngoja nitumie lugha rahisi,duniani kote kwa sababu polisi ndiyo wapo jikoni mara nyingi probability ya kuwabana kisawasawa kama raia wa kawaida huwa ni ndogo.Hata kule Marekani polisi wakiua raia kesho yake au siku hiyohiyo fasta tu huwa wako nje kwa dhamana lakini kwa raia wa kaida sivyo.Tumia akili wewe bwege,kwa hiyo polisi akifanya makosa hawachukuliwi hatua?
Jaduong hizi figisu mnazosema mnatakiwa muwe na ushahidi. Bila ushahidi ni propaganda njaa.Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787][emoji85]. Naona mataga mmeanzisha mada na kuanza kusapotiana !!. Yaani wewe hizi figisu utaziitaJe , uzalendo au ushindi ?!.
Yanayofanyika kwa viongozi wa upinzani na wilaya zile uelewa unaziita uzalendo ?!.
Ulimuona Zungu akiwafundisha under 18 namna ya kwenda kuiba kura. Huo ndiyo ushindi wa kishindo ?!.
Mnakubalika, basi tuwe na fair ground kwa ajili ya uchaguzi.
Mambo kama haya ya kumzuia Lissu asiruke imekaa kizamani na ki dictator
Chadema ni kundi la wahuni wahuni tu usihangaike naloNimemsikiliza Godbless Lema akihojiwa na Dw kuwa kuna kundi la vijana 200 wamepelekwa Arusha ili wakakipigie kura CCM. Anadai amewaona. Sasa kama mgombea ubunge umeona tukio kama hili kwa nini usitoe taarifa ya maandishi kwa msimamizi wa uchaguzi na badala yake unaongea tu Dw?
Kuna habari zingine zinaenezwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa magari ya jeshi yanasambaza mabox ya kura yaliyojaa karatasi zimewekewa tick. Mbona hatuoni picha wala video clips za hayo magari?
Kama kila chama kina wakala waliyemuamini na kisha akala kiapo kulinda kura za chama chake,sasa hizi habari za kuweka maboksi yaliyojaa karatasi zenye tick zitawezekama vipi?
Dalili za mvua ni mawingu,hii ni dalili tosha kuwa upinzani unaenda kushindwa mapema na kwa kura nyingi , 95% ya kura za urais na ubunge zinakwenda CCM, kuzalisha propaganda zisizo na mashiko haziwezi kusaidia upinzani. Jambo la msingi ni kujiandaa kisaikolojia kukubali matokeo. Maana posho za ubunge mlizizoea na mkadhania mtakuwa wabunge wa maisha.
Ulitegemea NEC wasemeJe ?! Kwamba wanataka kuhujumu ?!.Jaduong hizi figisu mnazosema mnatakiwa muwe na ushahidi. Bila ushahidi ni propaganda njaa.
Mmesema kuhusu wapiga kura hewa na vituo hewa,Nec wamekanusha.
Leo mnaleta uongo kama huu wa Lema.
Mhuni wewe usiejua loloteChadema ni kundi la wahuni wahuni tu usihangaike nalo
Huna akili we mburula,kwa hiyo unadhani polisi akifanya kosa lazima polisi wachunguze wao? Kwani serikali haiwezi kuunda tume kama ya Zombe? Huna akili kabisa mburula.Ndiyo maana kila saa hapa nasema kuwa una funza kichwani badala ya ubongo.Labda ngoja nitumie lugha rahisi,duniani kote kwa sababu polisi ndiyo wapo jikoni mara nyingi probability ya kuwabana kisawasawa kama raia wa kawaida huwa ni ndogo.Hata kule Marekani polisi wakiua raia kesho yake fasta tu huwa wako nje kwa dhamana lakini kwa raia wa kaida sivyo.
Kwa nini hii huwa inawezekana?Huwa kuna uwezekano wa wao kwa wao kujipendelea katika legal system kwa sababu wapo katika huo mfumo.Na hali huwa mbaya zaidi pale wanapofanya uhalifu ambao unaibeba serekali kama wanavyoua huko Zanzibar,yaani hapo uwezekano wa kubanwa kisawasawa huwa mdogo zaidi.Hata polisi akiwekwa ndani mateso yake huwa tofauti na ya raia.Umeelewa sasa?
Acha hasira JaduongMhuni wewe usiejua lolote
Acha hasira Jaduong
Hakuna kitu kigumu kama kubishana na kilaza! Kwa taarifa yako polisi wakifanya uhalifu wa kuibeba serekali/uhalifu wenye maslahi na serekali kama wanavyoua huko Zanzibar haiwezi kutokea serekali hiyohiyo ikaunda tume ya kuwabana.Serekali huwa inaunda tume ya kuwabana pale wanapofanya uhalifu ambao hauna maslahi na serekali kama walivyofanya kwa wale polisi wa Zombe.Huna akili we mburula,kwa hiyo unadhani polisi akifanya kosa lazima polisi wachunguze wao? Kwani serikali haiwezi kuunda tume kama ya Zombe? Huna akili kabisa mburula.
Wewe mimi pekeangu nakutosha ntakufirimba mpaka ukome! Tokea barabarani sasa uone siyo umejibanza hapo kwa shemeji yako unakoment uharo. Tokeza pua yako tuifyeke!Wewe ni hasara wewe ni mpumbavu Bora ukalale siwezi kujibishana na wewe mwaka huu tutawashangaza sana yaani tutachoma kila kitu Cha hii serikali mkifanya mchezo na uchaguzi tuanze upya tu Bora tugawane fito kwanza tuheshimiane now.
Nec wameomba ushahidi wa tuhuma zenu. MlikosaUlitegemea NEC wasemeJe ?! Kwamba wanataka kuhujumu ?!.
Kura zetu zitaacha malumbano badala ya kuyamaliza
Nimemsikiliza Godbless Lema akihojiwa na Dw kuwa kuna kundi la vijana 200 wamepelekwa Arusha ili wakakipigie kura CCM. Anadai amewaona. Sasa kama mgombea ubunge umeona tukio kama hili kwa nini usitoe taarifa ya maandishi kwa msimamizi wa uchaguzi na badala yake unaongea tu Dw?
Kuna habari zingine zinaenezwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa magari ya jeshi yanasambaza mabox ya kura yaliyojaa karatasi zimewekewa tick. Mbona hatuoni picha wala video clips za hayo magari?
Kama kila chama kina wakala waliyemuamini na kisha akala kiapo kulinda kura za chama chake,sasa hizi habari za kuweka maboksi yaliyojaa karatasi zenye tick zitawezekama vipi?
Dalili za mvua ni mawingu,hii ni dalili tosha kuwa upinzani unaenda kushindwa mapema na kwa kura nyingi , 95% ya kura za urais na ubunge zinakwenda CCM, kuzalisha propaganda zisizo na mashiko haziwezi kusaidia upinzani. Jambo la msingi ni kujiandaa kisaikolojia kukubali matokeo. Maana posho za ubunge mlizizoea na mkadhania mtakuwa wabunge wa maisha.
Propaganda mfu wanazofanya watz wa sasa hawana ujinga wa kiasi hicho kudanganywa,watz wanataka vitendo kwasasa na mtu pekee wa kuongea na kutenda si mwingine bali ni JPM.kesho tunampigia kura nyingi za kuvunja rekodiNimemsikiliza Godbless Lema akihojiwa na Dw kuwa kuna kundi la vijana 200 wamepelekwa Arusha ili wakakipigie kura CCM. Anadai amewaona. Sasa kama mgombea ubunge umeona tukio kama hili kwa nini usitoe taarifa ya maandishi kwa msimamizi wa uchaguzi na badala yake unaongea tu Dw?
Kuna habari zingine zinaenezwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa magari ya jeshi yanasambaza mabox ya kura yaliyojaa karatasi zimewekewa tick. Mbona hatuoni picha wala video clips za hayo magari?
Kama kila chama kina wakala waliyemuamini na kisha akala kiapo kulinda kura za chama chake,sasa hizi habari za kuweka maboksi yaliyojaa karatasi zenye tick zitawezekama vipi?
Dalili za mvua ni mawingu,hii ni dalili tosha kuwa upinzani unaenda kushindwa mapema na kwa kura nyingi , 95% ya kura za urais na ubunge zinakwenda CCM, kuzalisha propaganda zisizo na mashiko haziwezi kusaidia upinzani. Jambo la msingi ni kujiandaa kisaikolojia kukubali matokeo. Maana posho za ubunge mlizizoea na mkadhania mtakuwa wabunge wa maisha.
We umejuaje kuwa uhalifu uliofanyika Zanzibar hauna maslahi na umma? Unadhani serikali inafurahi kupakwa matope kwenye jumuia za mataifa? Tumia akili we mburula. Chauma na Act wamepoteza watu wao uchaguzi ukiisha wanaweza kuibua ukweli ukajulikana.Hakuna kitu kigumu kama kubishana na kilaza.Kwa taarifa yako polisi wakifanya uhalifu wa kuibeba serekali haiwezi kutokea serekali hiyohiyo ikaunda tume ya kuwabana.Serekali huwa inaunda tume ya kuwabana pale wanapofanya uhalifu ambao hauna maslahi na serekali kama walivyofanya kwa wale polisi wa Zombe.
We umejuaje kuwa uhalifu uliofanyika Zanzibar hauna maslahi na umma? Unadhani serikali inafurahi kupakwa matope kwenye jumuia za mataifa? Tumia akili we mburula. Chauma na Act wamepoteza watu wao uchaguzi ukiisha wanaweza kuibua ukweli ukajulikana.
Huna akili wewe popoyo. Huyo aliyeongea yupo Pemba? Uharo wa fisi.Nimejuaje mauaji ya zanzibar hayana maslahi ya umma?Umemsikiliza kamanda wa polisi wa Zanzibar leo?Unaelewa kuwa amekana na kusema kuwa hakuna mtu hata mmoja aliekufa Zanzibar?Kama hayo mauaji yana maslahi ya umma kwa nini afiche?!
..hapana.
..kama ccm wametuma vijana kuharibu uchaguzi wa arusha basi msimamizi wa uchaguzi tayari atakuwa amebariki hujuma hizo.
..unakosea sana unaposhauri eti Lema akaripoti kwa msimamizi. kila mwenye akili timamu anajua kwamba wasimamizi ni makada wa uv-ccm.
..Lema yuko sahihi kuutangazia umma kupitia vyombo vya habari ikiwemo DW.
Unaongea kitu gani?!Yaani kamanda wa polisi wa Zanzibar hawezi kujua kama kuna wazanzibari wameuawa kwa sababu hayupo Pemba au sijaelewa unachomaanisha?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huna akili wewe popoyo. Huyo aliyeongea yupo Pemba? Uharo wa fisi.
Hamna mkuu hao wanatapa tapa, mwisho wa yote kuna mawakala wao wapo watasimamia vzr
Au kura zitaongezwaje kama wakala wako anasimamia vzr?
Aliyeongea ni Rpc wa moja ya mikoa iliyopo Unguja, mkoa lilipotokea tukio yeye anahusika wakati hayuko huko? Ndio maana nimekubia acha papara tujue nini kilitokea.Unaongea kitu gani?!Yaani kamanda wa polisi wa Zanzibar hawezi kujua kama kuna wazanzibari wameuawa kwa sababu hayupo Pemba au sijaelewa unachomaanisha?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]