Uchaguzi 2020 Propaganda mfu za CHADEMA ni dalili tosha kuwa wameshindwa uchaguzi

Uchaguzi 2020 Propaganda mfu za CHADEMA ni dalili tosha kuwa wameshindwa uchaguzi

Shida ipo hapo. Mawakala wengi hawaaminiwi hata na vyama vyao maana wanajua huko ndani pressure huwa ni kubwa kuliko maelezo.

Mtu anaweza kutishwa kwa mtutu au akalainishwa kwa fedha au akaahidiwa kazi maana wengine washasota kitaani muda mrefu na kwao hii ni chance moja kila baada ya miaka mitano
Kama zile ajira za walimu nahis wanataka wakiwin wawashike nazo mkono hasa vijana wa lumumba
 
Fungueni mitandao ya kijamii nyie simnapendwa na wananchi mnaogopa ni washamba nyie

Shetani Hana rafiki
 
Unakosea sana kuwadanganya viongozi wako. Lazima apeleke malalamiko kwa maandishi na kama ni kweli athibitishe. Propaganda uchwara haziwezi kuwasaidia.
Kichwani umejaza funza, utawezaje ku think rationale?? Mbaya zaidi mwisho wa siku unaambulia kunu 5 za kunywea gongo...
 
Wewe na Mayala mnatia huruma kwa kuwa na nyuso ngumu kavu zisizo soni.
Ndio mshahara wa kumtumikia shetani.
Kuna mmoja mwingine nae karibu atafuzu kiwango chenu cha kujivunjia hata heshima kwa kung'ang'ania maneno/mambo ya kubumba.
Tumia ubongo wako wakati unaandika post.
 
Nimemsikiliza Godbless Lema akihojiwa na Dw kuwa kuna kundi la vijana 200 wamepelekwa Arusha ili wakakipigie kura CCM. Anadai amewaona. Sasa kama mgombea ubunge umeona tukio kama hili kwa nini usitoe taarifa ya maandishi kwa msimamizi wa uchaguzi na badala yake unaongea tu DW?

Kuna habari zingine zinaenezwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa magari ya jeshi yanasambaza mabox ya kura yaliyojaa karatasi zimewekewa tick. Mbona hatuoni picha wala video clips za hayo magari?

Kama kila chama kina wakala waliyemuamini na kisha akala kiapo kulinda kura za chama chake,sasa hizi habari za kuweka maboksi yaliyojaa karatasi zenye tick zitawezekana vipi?

Dalili za mvua ni mawingu,hii ni dalili tosha kuwa upinzani unaenda kushindwa mapema na kwa kura nyingi , 95% ya kura za urais na ubunge zinakwenda CCM, kuzalisha propaganda zisizo na mashiko haziwezi kusaidia upinzani. Jambo la msingi ni kujiandaa kisaikolojia kukubali matokeo. Maana posho za ubunge mlizizoea na mkadhania mtakuwa wabunge wa maisha.

Ukimkuta binadamu anatetee hii CCM mpya ya majahili ujue ananufaika na huo ujambazi !
 
Watanzania hawapendi rushwa, ushoga na usagaji, hawapendi wizi wa ruzuku na michango ya wabunge. Mna propaganda za kishamba Sana, mara vituo na wapiga kura fake, mara karatasi za chapishwa jamana yani upuuzi mtupu. Watanzania wazalendo wameshajua janja yenu wakala wa mabeberu ninyi.
 
Back
Top Bottom