Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
Sasa wameanza kuleta uongo usio na kichwa wala miguu.Baada ya Kura Kesho kupigwa, hutakuja kusikia tena Neno Chadema, Tunaifyeka yote, itabaki na vijidiwani vichaaache Arusha
Habari ndio hiyo
Wasubiri kesho mkuu, ndio watajuwa kwamba, wingi wa Kura haumo mitandaoni Bali upo katika kutenda Kwa vitendoSasa wameanza kuleta uongo usio na kichwa wala miguu.
Sasa wameanza kuleta uongo usio na kichwa wala miguu.
Unakosea sana kuwadanganya viongozi wako. Lazima apeleke malalamiko kwa maandishi na kama ni kweli athibitishe. Propaganda uchwara haziwezi kuwasaidia...hapana.
..kama ccm wametuma vijana kuharibu uchaguzi wa arusha basi msimamizi wa uchaguzi tayari atakuwa amebariki hujuma hizo.
..unakosea sana unaposhauri eti Lema akaripoti kwa msimamizi. kila mwenye akili timamu anajua kwamba wasimamizi ni makada wa uv-ccm.
..Lema yuko sahihi kuutangazia umma kupitia vyombo vya habari ikiwemo DW.
Sasa kama hii tume huna imani nayo mmeweka wagombea wa nini?Pumbavu kweli yaani unataka watu wakaripoti kwa tume hii ambayo mahera anawapigia kampeni waziwazi ccm na jiwe?
Pumbavu kweli
Mlifanya makusudi tume kutokuwa huru ili tuwaachie au!Sasa kama hii tume huna imani nayo mmeweka wagombea wa nini?
Unakosea sana kuwadanganya viongozi wako. Lazima apeleke malalamiko kwa maandishi na kama ni kweli athibitishe. Propaganda uchwara haziwezi kuwasaidia.
Wewe ni hasara wewe ni mpumbavu Bora ukalale siwezi kujibishana na wewe mwaka huu tutawashangaza sana yaani tutachoma kila kitu Cha hii serikali mkifanya mchezo na uchaguzi tuanze upya tu Bora tugawane fito kwanza tuheshimiane now.Sasa kama hii tume huna imani nayo mmeweka wagombea wa nini?
Si mlisema CHADEMA itakufa kabla ya 2020 kumbe bado ipo ?Baada ya Kura Kesho kupigwa, hutakuja kusikia tena Neno Chadema, Tunaifyeka yote, itabaki na vijidiwani vichaaache Arusha
Habari ndio hiyo
Kuizika rasmi ndicho anachomaanisha.Si mlisema CHADEMA itakufa kabla ya 2020 kumbe bado ipo ?
Wewe unaona 2020 imeshakwisha??Si mlisema CHADEMA itakufa kabla ya 2020 kumbe bado ipo ?
Anafananisha vitu vya Maana na vitu vya kijinga siyo??ππππItake radhi k.u.m.a, usiifananishe na huyu kibwengo... mtafutie jina lingine.
Shida ipo hapo. Mawakala wengi hawaaminiwi hata na vyama vyao maana wanajua huko ndani pressure huwa ni kubwa kuliko maelezo.Kama kila chama kina wakala waliyemuamini na kisha akala kiapo kulinda kura za chama chake,sasa hizi habari za kuweka maboksi yaliyojaa karatasi zenye tick zitawezekama vipi?