Uchaguzi 2020 Propaganda mfu za CHADEMA ni dalili tosha kuwa wameshindwa uchaguzi

Wewe ni hasara wewe ni mpumbavu Bora ukalale siwezi kujibishana na wewe mwaka huu tutawashangaza sana yaani tutachoma kila kitu Cha hii serikali mkifanya mchezo na uchaguzi tuanze upya tu Bora tugawane fito kwanza tuheshimiane now.
Povu na matusi havikusaidii. Kama tume haipo huru na mnaweka wagombea wa nini?
Wewe ni hasara wewe ni mpumbavu Bora ukalale siwezi kujibishana na wewe mwaka huu tutawashangaza sana yaani tutachoma kila kitu Cha hii serikali mkifanya mchezo na uchaguzi tuanze upya tu Bora tugawane fito kwanza tuheshimiane now.
 
Acha matusi mimi ni kama baba yako nina uwezo wa kumzalisha mama yako na kumpa raha.

Hakuna barua aliyoandika,bali analialia kwa kukosa ubunge.
 
Hapo ulipo wewe na ukoo wenu mlishauliwa wangapi?
 
Acha matusi mimi ni kama baba yako nina uwezo wa kumzalisha mama yako na kumpa raha.

Hakuna barua aliyoandika,bali analialia kwa kukosa ubunge.
Umeshapiga Kura mpaka useme ameukosa. Mi nipo Arusha hapa ccm Wana haha kuokoa jahazi
 
Hapo ulipo wewe na ukoo wenu mlishauliwa wangapi?
Kichwani una ubongo au funza?Unafikiri kwa ktumia ubongo au funza?Unaelewa kuwa siyo lazima nife mimi au wafe ndugu zangu au ufe wewe ndiyo ithibitishe kuwa Watanzania wameuawa?
 
Kichwani una ubongo au funza?Unaelewa kuwa siyo lazima nife mimi au wafe ndugu zangu au ufe wewe ndiyo ithibitishe kuwa Watanzania wameuawa?
Maelezo yako ni kamaa kuna mauaji ya kimbali. Jamboa ambalo sio kweli.
 
Maelezo yako ni kamaa kuna mauaji ya kimbali. Jamboa ambalo sio kweli.
Kwa hiyo akifa mtu mmoja siyo mauaji?Unaelewa thamani ya roho moja?Ukiambiwa uuze hiyo roho yako utaiuza kwa shillingi ngapi?Unafikiri kwa kutumia funza badala ya ubongo?
 
Kwa hiyo akifa mtu mmoja siyo mauaji?Unaelewa thamani ya roho moja?Ukiambiwa uuze hiyo roho yako utaiuza kwa shillingi ngapi?Unafikiri kwa kutumia funza badala ya ubongo?
Hayo mauji ya mtu mmoja mmoja yanafanyika kila siku? Subiri ripoti ya polisi juu ya tukio la Zanzibar. Acha kupayuka maneno ya kukariri.
 
Godbless Lema ni kichwa maji kabisa! Sasa kama hao watu 200 wamejiandikisha kuna kosa gani? Kwani si chadema wana nawakala? Si kila wakala anapewa nakala ya orodha ya wapiga Kura......? Kwanini chadema mnawafanya watu ni wajinga? Hakuna mtu asiye kwenye orodha ya wapiga kura ata ruhusiwa kupiga kura!

Chadema msitafute visingizio...
 
Hayo mauji ya mtu mmoja mmoja yanafanyika kila siku? Subiri ripoti ya polisi juu ya tukio la Zanzibar. Acha kupayuka maneno ya kukariri.
Unategemea polisi ambao ndiyo wanaua watu watoe ripoti ambayo ni objective?(isiyo na upendeleo).Yaani kesi yako ya Tumbili kula mahindi yako shambani unang'ang'ania ipelekwe kwa Ngedere?Ndiyo maana nasema kuwa kichwani kwako una funza badala ya ubongo
 
Kuhusu wizi wa kura hilo halina mashaka kabisa na ushahidi upo kabisa.
Kwanza CCM mjue wasimamizi wa uchaguzi ni binadamu na wengine ni wake/mademu zetu, siri mlizowapa jinsi ya kwenda kupindua meza tunazo mfukoni.
Pili tunajua 90% ya wasimamizi wa huu uchaguzi ni Makada wa CCM na wameahidiwa ajira, na kibaya zaid walipangwa vituo hata kabla watu hawajaomba hiyo kazi ya kusimamia.
 
Polisi wakibanwa kwa mujibu wa sheria wanasema ukweli. Kwa hiyo huko Zanzibar walifyatua risasi hovyo?
 
Baada ya msaliti wa Nchi Lissu kukataliwa na Watanzania kwenye mkitukana ameamua kukata tikit ya kurudi kwao ubeligiji wiki ijayo
Hapo mapema alisema anayo tiketi ya tarehe za mwezi wa Desemba 2020, SASA KAAMUA KUONDOKA MAPEMA,imekuwaje tena!?
 
Changu wa malunde, means Delicious! [emoji39]
 
Polisi wakibanwa kwa mujibu wa sheria wanasema ukweli. Kwa hiyo huko Zanzibar walifyatua risasi hovyo?
Ni nani ana wajibu wa kuenforce sheria?Unaelewa kuwa polisi ni moja ya organ zenye wajibu wa kuenforce sheria?Sasa kama wao ndiyo wana wajibu wa kuenforce sheria unategemea wajiwajibishe/wajiadhibu wenyewe?
 
Ni nani ana wajibu wa kuenforce sheria?Unaelewa kuwa polisi ni moja ya organ zenye wajibu wa kuenforce sheria?Sasa kama wao ndiyo wana wajibu wa kuenforce sheria unategemea wajiwajibishe wenyewe?
Tumia akili wewe bwege,kwa hiyo polisi akifanya makosa hawachukuliwi hatua?
 
Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787][emoji85]. Naona mataga mmeanzisha mada na kuanza kusapotiana !!. Yaani wewe hizi figisu utaziitaJe , uzalendo au ushindi ?!.

Yanayofanyika kwa viongozi wa upinzani na wilaya zile uelewa unaziita uzalendo ?!.
Ulimuona Zungu akiwafundisha under 18 namna ya kwenda kuiba kura. Huo ndiyo ushindi wa kishindo ?!.

Mnakubalika, basi tuwe na fair ground kwa ajili ya uchaguzi.

Mambo kama haya ya kumzuia Lissu asiruke imekaa kizamani na ki dictator
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…