Uchaguzi 2020 Propaganda mfu za CHADEMA ni dalili tosha kuwa wameshindwa uchaguzi

Tumia akili wewe bwege,kwa hiyo polisi akifanya makosa hawachukuliwi hatua?
Ndiyo maana kila saa hapa nasema kuwa una funza kichwani badala ya ubongo.Labda ngoja nitumie lugha rahisi,duniani kote kwa sababu polisi ndiyo wapo jikoni mara nyingi probability ya kuwabana kisawasawa kama raia wa kawaida huwa ni ndogo.Hata kule Marekani polisi wakiua raia kesho yake au siku hiyohiyo fasta tu huwa wako nje kwa dhamana lakini kwa raia wa kaida sivyo.

Kwa nini hii huwa inawezekana?Inawezekana kwa sababu huwa kuna uwezekano wa wao kwa wao kupendeleana katika legal system kwa sababu wapo katika huo mfumo.Na hali huwa mbaya zaidi pale wanapofanya uhalifu ambao unaibeba serekali kama wanavyoua huko Zanzibar,yaani hapo uwezekano wa kubanwa kisawasawa huwa mdogo zaidi/sana.Hata polisi akiwekwa ndani mateso yake huwa tofauti na ya raia wa kawaida.Umeelewa sasa?
 
Jaduong hizi figisu mnazosema mnatakiwa muwe na ushahidi. Bila ushahidi ni propaganda njaa.
Mmesema kuhusu wapiga kura hewa na vituo hewa,Nec wamekanusha.

Leo mnaleta uongo kama huu wa Lema.
 
Chadema ni kundi la wahuni wahuni tu usihangaike nalo
 
Jaduong hizi figisu mnazosema mnatakiwa muwe na ushahidi. Bila ushahidi ni propaganda njaa.
Mmesema kuhusu wapiga kura hewa na vituo hewa,Nec wamekanusha.

Leo mnaleta uongo kama huu wa Lema.
Ulitegemea NEC wasemeJe ?! Kwamba wanataka kuhujumu ?!.

Kura zetu zitaacha malumbano badala ya kuyamaliza
 
Huna akili we mburula,kwa hiyo unadhani polisi akifanya kosa lazima polisi wachunguze wao? Kwani serikali haiwezi kuunda tume kama ya Zombe? Huna akili kabisa mburula.
 
Huna akili we mburula,kwa hiyo unadhani polisi akifanya kosa lazima polisi wachunguze wao? Kwani serikali haiwezi kuunda tume kama ya Zombe? Huna akili kabisa mburula.
Hakuna kitu kigumu kama kubishana na kilaza! Kwa taarifa yako polisi wakifanya uhalifu wa kuibeba serekali/uhalifu wenye maslahi na serekali kama wanavyoua huko Zanzibar haiwezi kutokea serekali hiyohiyo ikaunda tume ya kuwabana.Serekali huwa inaunda tume ya kuwabana pale wanapofanya uhalifu ambao hauna maslahi na serekali kama walivyofanya kwa wale polisi wa Zombe.
 
Wewe ni hasara wewe ni mpumbavu Bora ukalale siwezi kujibishana na wewe mwaka huu tutawashangaza sana yaani tutachoma kila kitu Cha hii serikali mkifanya mchezo na uchaguzi tuanze upya tu Bora tugawane fito kwanza tuheshimiane now.
Wewe mimi pekeangu nakutosha ntakufirimba mpaka ukome! Tokea barabarani sasa uone siyo umejibanza hapo kwa shemeji yako unakoment uharo. Tokeza pua yako tuifyeke!
 
Propaganda mfu wanazofanya watz wa sasa hawana ujinga wa kiasi hicho kudanganywa,watz wanataka vitendo kwasasa na mtu pekee wa kuongea na kutenda si mwingine bali ni JPM.kesho tunampigia kura nyingi za kuvunja rekodi
 
We umejuaje kuwa uhalifu uliofanyika Zanzibar hauna maslahi na umma? Unadhani serikali inafurahi kupakwa matope kwenye jumuia za mataifa? Tumia akili we mburula. Chauma na Act wamepoteza watu wao uchaguzi ukiisha wanaweza kuibua ukweli ukajulikana.
 
Nimejuaje mauaji ya zanzibar hayana maslahi ya umma?Umemsikiliza kamanda wa polisi wa Zanzibar leo?Unaelewa kuwa amekana na kusema kuwa hakuna mtu hata mmoja aliekufa Zanzibar?Kama hayo mauaji yana maslahi ya umma kwa nini afiche?!
 
Huna akili wewe popoyo. Huyo aliyeongea yupo Pemba? Uharo wa fisi.
 
Hamna mkuu hao wanatapa tapa, mwisho wa yote kuna mawakala wao wapo watasimamia vzr
Au kura zitaongezwaje kama wakala wako anasimamia vzr?
 
Huna akili wewe popoyo. Huyo aliyeongea yupo Pemba? Uharo wa fisi.
Unaongea kitu gani?!Yaani kamanda wa polisi wa Zanzibar hawezi kujua kama kuna wazanzibari wameuawa kwa sababu hayupo Pemba au sijaelewa unachomaanisha?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hamna mkuu hao wanatapa tapa, mwisho wa yote kuna mawakala wao wapo watasimamia vzr
Au kura zitaongezwaje kama wakala wako anasimamia vzr?

..kuna hila nyingi sana ktk uchaguzi.

..cha msingi ni wadau wote wakae pamoja na kupitia kero zote na kufikia muafaka wa jinsi ya kuendesha uchaguzi.
 
Unaongea kitu gani?!Yaani kamanda wa polisi wa Zanzibar hawezi kujua kama kuna wazanzibari wameuawa kwa sababu hayupo Pemba au sijaelewa unachomaanisha?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aliyeongea ni Rpc wa moja ya mikoa iliyopo Unguja, mkoa lilipotokea tukio yeye anahusika wakati hayuko huko? Ndio maana nimekubia acha papara tujue nini kilitokea.

Usihukumu kabla hujapata details za ukweli. Tukio limetokea Pemba sio Unguja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…