Uchaguzi 2020 Propaganda mfu za CHADEMA ni dalili tosha kuwa wameshindwa uchaguzi

Mwamzi wa hawa wapinzani ni wakala wao wakati wa kuhesabu kura....huyu wakala huwa mtoa taarifa rasmi nani kashinda katika kila kituo... CCM ndiyo kila kitu Magufuli oyeeee... CCM DAIMA tukutane kesho 28/20/2020. Kwenye masunduku ya kura CCM OYEEEEEE
 

Mawakala hawana malipo, wameahidiwa teuzi baada ya kushika dola. Ndio maana hawaaminiani
💛💚👍
 
Aliyeongea ni Rpc wa moja ya mikoa iliyopo Unguja, mkoa lilipotokea tukio yeye anahusika wakati hayuko huko? Ndio maana nimekubia acha papara tujue nini kilitokea.

Usihukumu kabla hujapata details za ukweli. Tukio limetokea Pemba sio Unguja.
No!Link ya RPC wa mkoa wa Pemba Kaskazini hii hapa akisema kuwa hakuna mtu hata mmoja alieuawa

 
Je? ni Jimbo gani litakuwa la kwanza kutangaza matokeo ya uchaguzi Tanzania bara??
 
Miaka mitano (5) Chadema haikufanya siasa, leo imemtikisa mtu ambaye miaka mitano (5) amesifiwa kila siku peke yake!
 
Baada ya kutukana umepata faida Gani ndugu.
Umeongeza kura
Au ndio umeeleweka sana
Au unadhani ndio watakuheshimu au kukuogopa humu mitandaoni.!??
 
CCM wameshaua watu 11 hadi sasa Zanzibar na Mara.
 
Huyo tobo wao ameahidiana na makaburu kuwa afanye kila awezalo avuruge amani ya nchi kama njia ya wao mabeberu kumpa uongozi. Lakini watanzania siyo wajinga wa kiasi hicho
 
Kuizika rasmi ndicho anachomaanisha.
Wewe na Mayala mnatia huruma kwa kuwa na nyuso ngumu kavu zisizo soni.
Ndio mshahara wa kumtumikia shetani.
Kuna mmoja mwingine nae karibu atafuzu kiwango chenu cha kujivunjia hata heshima kwa kung'ang'ania maneno/mambo ya kubumba.
 
Lissu akijifanya kuanzisha fujo safari hii atajuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…