Mumemtelekeza mwenyekiti?
 
Mama gani? Dictator?
 
Ni bora zijibiwe hoja za Gwajima juu ya Chanjo hiyo kuliko kuhusisha mambo mengine ambayo yeye Gwajima hajayasema! Mbona Marehemu Magufuli naye aliwahi kutoa tahadhari juu ya Chanjo kama hizi?
 
Mimi si mshabiki wa Askofu Gwajima. Lakini nakubaliana naye kwa ishu ya chanjo. Ni mtu mjinga pekee ndio anaweza kubali Chanjo.

Mungu hakosei kuhusu immunity aliyomuumba nayo mtu. Why chanjo now?
Ulizaliwa mwaka gani?
 
Ni bora zijibiwe hoja za Gwajima juu ya Chanjo hiyo kuliko kuhusisha mambo mengine ambayo yeye Gwajima hajayasema! Mbona Marehemu Magufuli naye aliwahi kutoa tahadhari juu ya Chanjo kama hizi?
Hana hoja zaidi ya kupotosha na kuleta taharuki.
 
Lissu alisems wakimalizana na sisi watahamia huko kwenu
Kosa walilofanya wachaga kushangilia kifo cha Magufuli litawagharimu hadi kizazi cha tatu.
#Gaidi
#corona imekita mizizi Moshi
 
Wote ni wabovu tupu
 
Kumaliza sasa hivi ni rahisi sana kuliko ilivyokuwa huko nyuma ndio maana anapambana ili aache legacy YouTube ya kupinga wajeda & maaskofu kupigwa chapa ya mnyama aliyewaua màgufool,nkurunzinza &rais wa Haiti
 
Wasukuma na wachaga wana shida. Kila kitu ni kupinga.
 

Mkono wa BAUNSA ni Tapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…