Propaganda za uchawi na ushirikina

Propaganda za uchawi na ushirikina

Pamoja na stori hii ndefu, bado naingiwa na shaka kama kweli uchawi ni kitu halisi. Labda tukubali kuwa uchawi kwa asilimia 99.99% ni propaganda zinazotumika na wajanja wachache kuwalaghai wajinga walio wengi.

Ulaghai huu unatokana na masalia wa wafuasi wa ibilis, pamoja na historia zilizoachwa na mababa wa uchawi, zinazoenezwa kwa njia ya mila, tamaduni, au desturi za kimakabila, kiukoo na hata kifamilia. Tujikumbushe kuwa Ibilis, baada ya kufukuzwa kwenye ufalme wa Mungu, aliamua kuwatumia binadamu kuanzisha himaya yake hapa duniani alipodondokea.

Uchawi wa asili ulitoweshwa duniani baada ya ujio wa Yesu Kristo. Kristo alipotua ulimwenguni, ilikuwa ni pigo kuu kwa shetani, ndiyo maana maandiko yanatuambia kuwa shetani aliandaa joka kubwa limmeze huyo Kristo.

Yesu, alishinda hiyo vita, na mwishowe aliutangaza utawala mpya kisha kumweka kizuizini Ibilis. Baada ya misingi mipya, ndipo nyakati ambazo tawala za kichawi zilianza kuanguka mmoja baada ya mwingine. Huku tawala za Kikristo zikichukua nafasi, mpaka utawala mkuu wa kichawi wa Roma ulipoamua kukubali Kristo atawale, na kuusambaza ukristo dunia nzima.

Yesu pamoja na mambo mengine, kazi kubwa ya ukombozi ilikuwa kumtia kizuizini shetani na kuwafungua baadhi ya mateka waliokuwa wameshikiliwa na ibilis huko kuzimu (wakaitwa mizimu). Mizimu hii ndiyo inatumika mpaka sasa kuendeleza mawasiliano ya kichawi kwa vizazi, mataifa, makabila na koo nyingi, japokuwa nguvu yake rasmi imefungwa huko kuzimu.

Kifungo hiki kitakapokamilishwa, ataachiwa na tutashuhudia tena uchawi dhahiri kwa macho hapa duniani. Watakuja watu, wataonyesha ishara mbalimbali, na watu watawaamini. Ishara hizi zitakuwa ni za kichawi, na wala siyo ishara za kimungu kama itakavyokuwa inadaiwa.

Asante kwa kazi nzuri...
 
Asante kwa kazi nzuri..
 
Mungu alimuumba mwanadamu akiwa kakamilika kabisa na akampa akili,uwezo na nguvu ya kuvitawala vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana.
Lengo la shetani kuwafunza uchawi wanadamu Ili kupunguza uwezo wa kufikiri aliopewa na Mwenyezi Mungu na atumie akili bandia kutegemea uchawi Ili kufanya mambo.
Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Kwa umri niliokuwa nao na kwa niliyoyaona mauzauza hapa Duniani niseme tuu UCHAWI upo Tena wanaoufanya huwezi kuwadhania.

Uchawi ni Technolojia ya Ajabu Sana ambayo hutumii nguvu ktk kutenda
 
Kuamini Uchawi/ushirikina ni aina nyingine ya Ukichaa!
Nyie ndiyo mnaowatesa watu kwa maradhi ya kichawi
Mkuu punguzeni kututesa yaani mnawakotrol wenzenu kama maroboti bhana
Tumechoka na mauchawi yenu na chaajabu mnakuwa wabishi mkiambiwa nyinyi ni wachawi

Wengine mmeziinamisha familia zenu, yaani mmewaloga ndg zenu ili wawasikilize nyinyi, wengine mmewawologa waume zenu ili muwatumikishe stupid
 
Uchawi unabebwa zaidi na propaganda but still ni technology duni Sana na uwadhuru wasio na maarifa. Ukizijua codes na utendaji Kazi wake wapi unafanya Kazi wapi haufanyi kazi, uchawi kwako ni sawa na mafua tu kudhurika kwa mafua utegemea na Kinga zako.
Still uchawi bado ni technology duni Sana ukilinganisha na power zingine ufanywa na watu duni, thus wakoloni hawakudhurika na uchawi.
Kama uchawi ungekuwa na nguvu Sana kama unavyonadiwa na Jamii haya yangetokea.
1.Mwafrika asingechukulika utumwani wala kutawaliwa kiroho na kimwili na mkoloni.
2.Idadi ya watu duniani Ingekuwa ndogo sana kwa maana wengi wangeuliwa na wachawi.
3.IPO mimea, madini na vitu vinavyozuia nguvu ya uchawi usikudhuru.
Kinachoupa nguvu uchawi ni propaganda
 
Wewe ni MWEHU!

Mtoa mada kuna maswali ametangulia kuuliza hapo juu mwanzo kabisa wa thread.
Jaribu wewe binafsi kupata majibu ya hayo maswali, halafu kama ukiendelea na hiyo imani yako; basi jipige kifua mara tatu na useme: "mimi ni bonge la boya!"
 
Uchawi unabebwa zaidi na propaganda but still ni technology duni Sana na uwadhuru wasio na maarifa. Ukizijua codes na utendaji Kazi wake wapi unafanya Kazi wapi haufanyi kazi, uchawi kwako ni sawa na mafua tu kudhurika kwa mafua utegemea na Kinga zako.
Still uchawi bado ni technology duni Sana ukilinganisha na power zingine ufanywa na watu duni, thus wakoloni hawakudhurika na uchawi.
Kama uchawi ungekuwa na nguvu Sana kama unavyonadiwa na Jamii haya yangetokea.
1.Mwafrika asingechukulika utumwani wala kutawaliwa kiroho na kimwili na mkoloni.
2.Idadi ya watu duniani Ingekuwa ndogo sana kwa maana wengi wangeuliwa na wachawi.
3.IPO mimea, madini na vitu vinavyozuia nguvu ya uchawi usikudhuru.
Kinachoupa nguvu uchawi ni propaganda
Mkuu nimetoka kapa
Cjakuelewa
 
Propaganda za uchawi ndio kikwazo cha maendeleo ya waafrika
 
Back
Top Bottom