Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Tumia mbinu zako za kichawi uje nilipo.Njoo Tanga nikuthibitishie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia mbinu zako za kichawi uje nilipo.Njoo Tanga nikuthibitishie.
Kama Quran tukufu ilitabiri mambo ambayo leo hii ndo yanatokea kwanini uchawi usiwe mapaka leo??Vitabu vya dini havisemi UCHAWI UPO...
Vinasema uchawi ULIKUWEPO!
Yaani hata ndani ya hivyo vitabu, UCHAWI UMEELEZEWA KAMA HISTORIA tu ya matukio ya kale!
Na wala Havisemi wafuasi wa hivyo vitabu WAAMINI UCHAWI!
Wanaoamini uchawi ni WATU WAJINGA TU!!
Mimi sio mchawi, jaribu kuelewa nimekuambia njoo nikuonyeshe. Na siku zote uchawi sio kama unavyofikiri kwamba ukijisikia kujaribu unajaribu. Una kanuni na taratibu zake. (Terms and Conditions)Tumia mbinu zako za kichawi uje nilipo.
Bullshit! Hakuna uchawi wala nini.Mimi sio mchawi, jaribu kuelewa nimekuambia njoo nikuonyeshe. Na siku zote uchawi sio kama unavyofikiri kwamba ukijisikia kujaribu unajaribu. Una kanuni na taratibu zake. (Terms and Conditions)
Umejuaje kuwa hivyo VISA ULIVYOKUTANA NAVYO ni uchawi/ vya kichawi..?!Kama Quran tukufu ilitabiri mambo ambayo leo hii ndo yanatokea kwanini uchawi usiwe mapaka leo??
Uchawi ulikuwepo, Upo na Utaendelea kuwepo.
Tofauti yetu na Watu weupe ni matumizi tuu.
Sisi tunatumia kurudishana nyuma wao wanatumia kwa mambo yao ya asili huko.
Kama hujawahi kukutana na mambo ya kimazingara usije hapa kuropoka Uchawi haupo. Sio wewe tu hata mimi mmoja wapo niliekua siamini hayo mambo ila kwa visa nilivyokutana navyo nathibitisha uwepo wa Uchawi.
Endelea kuamini hivyo hivyo.Bullshit! Hakuna uchawi wala nini.
Hata kama huna uelewa ila kwa uasili wa mambo lazima uone kabisa hili jambo ni mambo ya giza. Hivi unaweza kwenda hospital zaidi ya 4 tena kubwa na kukosa ugonjwa huku upo hoi bin taabani. Yani unajisikia kabisa unaumwa mayb malaria ila hospital unapata majibu negative. Inaingia akilin kweli??Umejuaje kuwa hivyo VISA ULIVYOKUTANA NAVYO ni uchawi/ vya kichawi..?!
Duh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni MWEHU!
Mtoa mada kuna maswali ametangulia kuuliza hapo juu mwanzo kabisa wa thread.
Jaribu wewe binafsi kupata majibu ya hayo maswali, halafu kama ukiendelea na hiyo imani yako; basi jipige kifua mara tatu na useme: "mimi ni bonge la boya!"
Mmmh we bwana bogaaaVitabu vya dini havisemi UCHAWI UPO...
Vinasema uchawi ULIKUWEPO!
Yaani hata ndani ya hivyo vitabu, UCHAWI UMEELEZEWA KAMA HISTORIA tu ya matukio ya kale!
Na wala Havisemi wafuasi wa hivyo vitabu WAAMINI UCHAWI!
Wanaoamini uchawi ni WATU WAJINGA TU!!
Eeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmh we bwana bogaaa
Uchawi unaaminiwa na watu WAJINGA tu!Mmmh we bwana bogaaa
Wanasayansi wanavumbua vifaa vipya vya chunguzi za kitabibu kila siku, kutokuonekana ugonjwa yawezekana tu havijapatikana vifaa mujarabu.Hata kama huna uelewa ila kwa uasili wa mambo lazima uone kabisa hili jambo ni mambo ya giza. Hivi unaweza kwenda hospital zaidi ya 4 tena kubwa na kukosa ugonjwa huku upo hoi bin taabani. Yani unajisikia kabisa unaumwa mayb malaria ila hospital unapata majibu negative. Inaingia akilin kweli??
PointlessWanasayansi wanavumbua vifaa vipya vya chunguzi za kitabibu kila siku, kutokuonekana ugonjwa yawezekana tu havijapatikana vifaa mujarabu.
Usikimbilie Uchawi!
Kvp yani?Propaganda za uchawi ndio kikwazo cha maendeleo ya waafrika
Kwahiyo unasema kwamba watu wanaenda kwa waganga kwa mahitaji yao ila hawapati yale wanayokusudia na bado wanaendelea kwenda tu? kama ingekuwa kwa waganga wote basi uganga usingekuwa issue tena kwa maana hadi leo kusingekuwepo waganga tena.Uchawi unaaminiwa na watu WAJINGA tu!
Na ndiyo maana kina marehemu sheikh Yahya, Dr. Tamba na manabii na Wachungaji feki wa kisasa wanatajirika sababu MAZOBA mpo wengi!
Watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri hupenda kukimbilia majibu mepesi hata kwenye changamoto ngumu.Pointless
Wengi wameaminishwa hakuna mafanikio bila dawa,huu ni uongo mkubwa.Kvp yani?
Kama unaumwa tumbo, kichwa au mfano wa maradhi kama hayo ya kiwiliwili, ipo miti, matunda, vyakula nk. ambayo inaweza kutibu. Na wapo wataalam (waganga) wa tiba hizo!Kwahiyo unasema kwamba watu wanaenda kwa waganga kwa mahitaji yao ila hawapati yale wanayokusudia na bado wanaendelea kwenda tu? kama ingekuwa kwa waganga wote basi uganga usingekuwa issue tena kwa maana hadi leo kusingekuwepo waganga tena.
Kwa mtazamo wako lakini kwa wengine, wanaenda na wanapiga bao na maisha yanawanyookea fresh tu. Thus why nakuambia kaa na imani yako sisi tukipiga bao tutakuja kuwa motivations speak kwenu.Watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri hupenda kukimbilia majibu mepesi hata kwenye changamoto ngumu.
Wapiga ramli na wachawi ni kimbilio la watu WASIOWEZA KUTUMIA AKILI zao vizuri kukabiliana na changamoto zinazowakabili!