ID Fake
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 503
- 776
UJINGA NI UJINGA tu, haijalishi unafanywa na nani!!Ngoja yakukute, ndo utaelewa.
Wazeee wa madahababu wenyewe sometimes huenda kwa vigagula ili kipewa power na mvuto
USIIGE UJINGA wa mtu yeyote!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UJINGA NI UJINGA tu, haijalishi unafanywa na nani!!Ngoja yakukute, ndo utaelewa.
Wazeee wa madahababu wenyewe sometimes huenda kwa vigagula ili kipewa power na mvuto
Soma historia ya Mwenge utapata jibuNyerere HAKWENDA Bagamoyo KUPIGA RAMLI acha uongo!!
UJINGA KAMA una manufaa kwanini usiige?UJINGA NI UJINGA tu, haijalishi unafanywa na nani!!
USIIGE UJINA wa mtu yeyote!
USIJICHEKESHE...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha uongo HAKUNA HISTORIA YOYOTE inayosema Nyerere alienda Bagamoyo kupiga ramli, wala UHURU wa nchi yetu haukutafutwa kwa WAGANGA WA KIENYEJI!Tafuta historia usome wewe. Ubishi wako hauna evidence kabisaa [emoji706].
Vyote hivyo tunafanya ila kwa kigangula napo muhimu.USIJICHEKESHE...
Chapa kazi kwa bidii,
kuwa mbunifu ktk kutafuta pesa, muombe Mola akufungulie milango ya riziki.
Usikaekae kusubiri maajabu UTACHELEWA!
Itakua hata historia ya nchi yako ujui vizuri.Acha uongo HAKUNA HISTORIA YOYOTE inayosema Nyerere alienda Bagamoyo kupiga ramli, wala UHURU wa nchi yetu haukutafutwa kwa WAGANGA WA KIENYEJI!
Wewe umesoma wapi..?!
Itakua hata historia ya nchi yako ujui vizuri.Acha uongo HAKUNA HISTORIA YOYOTE inayosema Nyerere alienda Bagamoyo kupiga ramli, wala UHURU wa nchi yetu haukutafutwa kwa WAGANGA WA KIENYEJI!
Wewe umesoma wapi..?!
Aisee!UJINGA KAMA una manufaa kwanini usiige?
Ofcourse kama Manufaa yapo why NOT ?Aisee!
HADI UJINGA UNA MANUFAA..!!?
Kongole nyingi kwako!
Alamsiki!
[emoji112]
Bullshit! Hakuna uchawi wala nini.
Hakuna uchawi. Period, end of sentence!😀😀😀😀
Uchawi nguvu yake ni KB tuu sasa nyakati hizo mambo mengi ni GB 😀
Hakuna uchawi. Period, end of sentence!
Vyovyote vile ila nilichokuwa napinga ni hayo madai ya kwamba afrika hatuendelei kisa imani za uchawi.Afrika kuna black magic sababu ya nature ya mwafrika ulaya kuna White magic sababu ya nature yao.
Huyu jamaa hayajamkutaKama Quran tukufu ilitabiri mambo ambayo leo hii ndo yanatokea kwanini uchawi usiwe mapaka leo??
Uchawi ulikuwepo, Upo na Utaendelea kuwepo.
Tofauti yetu na Watu weupe ni matumizi tuu.
Sisi tunatumia kurudishana nyuma wao wanatumia kwa mambo yao ya asili huko.
Kama hujawahi kukutana na mambo ya kimazingara usije hapa kuropoka Uchawi haupo. Sio wewe tu hata mimi mmoja wapo niliekua siamini hayo mambo ila kwa visa nilivyokutana navyo nathibitisha uwepo wa Uchawi.
Pole sana ndugu. Tafuta sheikh mzuri akupige kisomo mambo yatakaa sawa tu.Huyu jamaa hayajamkuta
Mimi hapa nilipo majini uchawi vyote vinaniandama
Mama wa kambo kamloga Baba ili anione mm kama mavi anisahau kabisa ktk fikra zake aamini hana mtoto kama Mimi yaani nimezikwa ingali napumua
"Mungu hata umtegemee vipi hawezi kutenda wajibu wako.Inategemea unausemea Uchawi katika mtazamo upi.
Uchawi upo. Shetani
Miujiza ipo. MUNGU.
Ila ni falme zinazojitegemea na Mchango wake kwenye maisha wa binadamu ni Asilimia ndogo Sana.
Mungu hata umtegemee vipi hawezi kutenda wajibu wako.
Yeye atakachokuzuia ni hila za waovu na Shetani. Mengine yote ufanye MWENYEWE.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji106]Sawa mimi masikini, wewe tajiri ila sijawahi ona tajiri ambae hana akili kama ww. Mimi masikini ila nina akili zangu.
Umejuaje mama yako wa kambo kamroga baba yako akuone kama mavi..?!Huyu jamaa hayajamkuta
Mimi hapa nilipo majini uchawi vyote vinaniandama
Mama wa kambo kamloga Baba ili anione mm kama mavi anisahau kabisa ktk fikra zake aamini hana mtoto kama Mimi yaani nimezikwa ingali napumua
Ndio umjibu huyo mwenzio kuwa kutokuendelea kwa afrika sio kwa sababu ya kuamini uchawi bali ni uzembe wetu au sababu zengine, nimetoa mfano wa wahindi kuonesha kuwa pamoja na kuamini ushirikina sana ila wana maendeleo ingekuwa kuamini uchawi kunafanya usiendelee basi wahindi tusingeona wakifanikiwa kutokana na jinsi walivyokuwa na imani sana kwenye uchawi.Hii comment yako no kama inajijibu yenyewe.
Hao Wahindi unaowatolea mfano, hizo imani ni ujinga walioukuta ktk jamii zao nao wameurithi kama ulivyo.
Lkn mafanikio yao ni juhudi zao za kuchapa kazi na utundu utundu.
Hakuna anaebisha Wahindi ni wachapakazi na hawana masihara kwnye kusaka noti!
Lakini umewataja Wazungu kwamba hawana kabisa hayo mambo ya kichawi na wako mbali sana kimafanikio pengine kuliko jamii zote.