Propaganda za uchawi na ushirikina

Propaganda za uchawi na ushirikina

Ngoja yakukute, ndo utaelewa.

Wazeee wa madahababu wenyewe sometimes huenda kwa vigagula ili kipewa power na mvuto
UJINGA NI UJINGA tu, haijalishi unafanywa na nani!!

USIIGE UJINGA wa mtu yeyote!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
USIJICHEKESHE...
Chapa kazi kwa bidii,
kuwa mbunifu ktk kutafuta pesa, muombe Mola akufungulie milango ya riziki.

Usikaekae kusubiri maajabu UTACHELEWA!
 
Tafuta historia usome wewe. Ubishi wako hauna evidence kabisaa [emoji706].
Acha uongo HAKUNA HISTORIA YOYOTE inayosema Nyerere alienda Bagamoyo kupiga ramli, wala UHURU wa nchi yetu haukutafutwa kwa WAGANGA WA KIENYEJI!

Wewe umesoma wapi..?!
 
USIJICHEKESHE...
Chapa kazi kwa bidii,
kuwa mbunifu ktk kutafuta pesa, muombe Mola akufungulie milango ya riziki.

Usikaekae kusubiri maajabu UTACHELEWA!
Vyote hivyo tunafanya ila kwa kigangula napo muhimu.
Unafikiri mafanikio yanapo kuja upande wangu kila mtu anapenda? We mwenyewe ukiona nazidi kutoboa lazma uingize chuki na wivu.
Sasa ukikuta nipo fresh lazma ugonge mwamba tena wa Bismarck.
 
Acha uongo HAKUNA HISTORIA YOYOTE inayosema Nyerere alienda Bagamoyo kupiga ramli, wala UHURU wa nchi yetu haukutafutwa kwa WAGANGA WA KIENYEJI!

Wewe umesoma wapi..?!
Itakua hata historia ya nchi yako ujui vizuri.
 
Hakuna uchawi. Period, end of sentence!

Inategemea unausemea Uchawi katika mtazamo upi.

Uchawi upo. Shetani
Miujiza ipo. MUNGU.

Ila ni falme zinazojitegemea na Mchango wake kwenye maisha wa binadamu ni Asilimia ndogo Sana.

Mungu hata umtegemee vipi hawezi kutenda wajibu wako.
Yeye atakachokuzuia ni hila za waovu na Shetani. Mengine yote ufanye MWENYEWE.
 
Afrika kuna black magic sababu ya nature ya mwafrika ulaya kuna White magic sababu ya nature yao.
Vyovyote vile ila nilichokuwa napinga ni hayo madai ya kwamba afrika hatuendelei kisa imani za uchawi.
 
Kama Quran tukufu ilitabiri mambo ambayo leo hii ndo yanatokea kwanini uchawi usiwe mapaka leo??
Uchawi ulikuwepo, Upo na Utaendelea kuwepo.
Tofauti yetu na Watu weupe ni matumizi tuu.
Sisi tunatumia kurudishana nyuma wao wanatumia kwa mambo yao ya asili huko.

Kama hujawahi kukutana na mambo ya kimazingara usije hapa kuropoka Uchawi haupo. Sio wewe tu hata mimi mmoja wapo niliekua siamini hayo mambo ila kwa visa nilivyokutana navyo nathibitisha uwepo wa Uchawi.
Huyu jamaa hayajamkuta
Mimi hapa nilipo majini uchawi vyote vinaniandama
Mama wa kambo kamloga Baba ili anione mm kama mavi anisahau kabisa ktk fikra zake aamini hana mtoto kama Mimi yaani nimezikwa ingali napumua
 
Pole sana ndugu. Tafuta sheikh mzuri akupige kisomo mambo yatakaa sawa tu.
 
Inategemea unausemea Uchawi katika mtazamo upi.

Uchawi upo. Shetani
Miujiza ipo. MUNGU.

Ila ni falme zinazojitegemea na Mchango wake kwenye maisha wa binadamu ni Asilimia ndogo Sana.

Mungu hata umtegemee vipi hawezi kutenda wajibu wako.
Yeye atakachokuzuia ni hila za waovu na Shetani. Mengine yote ufanye MWENYEWE.
"Mungu hata umtegemee vipi hawezi kutenda wajibu wako.
Yeye atakachokuzuia ni hila za waovu na Shetani. Mengine yote ufanye MWENYEWE."

Mkuu hapa sijaelewa vizuri.
 
Huyu jamaa hayajamkuta
Mimi hapa nilipo majini uchawi vyote vinaniandama
Mama wa kambo kamloga Baba ili anione mm kama mavi anisahau kabisa ktk fikra zake aamini hana mtoto kama Mimi yaani nimezikwa ingali napumua
Umejuaje mama yako wa kambo kamroga baba yako akuone kama mavi..?!

UMEJUAJE..?!!
 
Hii comment yako no kama inajijibu yenyewe.

Hao Wahindi unaowatolea mfano, hizo imani ni ujinga walioukuta ktk jamii zao nao wameurithi kama ulivyo.

Lkn mafanikio yao ni juhudi zao za kuchapa kazi na utundu utundu.

Hakuna anaebisha Wahindi ni wachapakazi na hawana masihara kwnye kusaka noti!

Lakini umewataja Wazungu kwamba hawana kabisa hayo mambo ya kichawi na wako mbali sana kimafanikio pengine kuliko jamii zote.
Ndio umjibu huyo mwenzio kuwa kutokuendelea kwa afrika sio kwa sababu ya kuamini uchawi bali ni uzembe wetu au sababu zengine, nimetoa mfano wa wahindi kuonesha kuwa pamoja na kuamini ushirikina sana ila wana maendeleo ingekuwa kuamini uchawi kunafanya usiendelee basi wahindi tusingeona wakifanikiwa kutokana na jinsi walivyokuwa na imani sana kwenye uchawi.

Wazungu sio kwamba hawana uchawi kabisa hakuna sehemu ambayo hakuna uchawi kabisa, tofauti naweza kusema kwamba hawajihusishi sana na uchawi kama ilivyo afrika na hata ya uchawi wanaojihusisha nao ni tofauti na huu wa kwetu wa kuwangiana.
 
Back
Top Bottom