Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Hata hiyo miti wapo wasioamini kuwa inaweza kutibu na wapo matapeli ambao hudanganya watu kwa kujifanya wana dawa za mitishamba za kutibu maradhi ila ni uzushi tu, lakini pia miti hiyo hiyo hutumika kufanya uchawi na hata kutibu matatizo ya kichawi.Kama unaumwa tumbo, kichwa au mfano wa maradhi kama hayo ya kiwiliwili, ipo miti, matunda, vyakula nk. ambayo inaweza kutibu. Na wapo wataalam (waganga) wa tiba hizo!
Lln linapokuja suala la uchawi; mkuu, fungua macho... UNAPIGWA!!
Kuhusu kwa waganga na issue ya uchawi ndio nimekwambia kama waganga wote wangekuwa ni waongo kwenye masuala ya uchawi basi watu wasingekuwa wanaenda tena na kusingekuwa na hao waganga kabisa.