Propaganda za uchawi na ushirikina

Propaganda za uchawi na ushirikina

Hakuna uchawi!

Nenda mdaula/mkange huko kwa wazigua ndio utajua watu wamepelekewa mashine ya kusaga wanaipindisha hatar sana,Jiran anasherehe anaeka jenereta wanaizimisha hahaha wana macho ya ajab wanaongoza kwa kupiga watu mazongo wengi wao wakishafika dar hawarud kwao.
 
Uongo!

Uchawi haupo.
 
Ndio baada ya kulifanyia uchunguzi.
Mfano kama nyumba za ibada zipo kwann uchawi usiwepo.
Uwepo wa nyumba za ibada si uthibitisho wa chochote zaidi ya imani tu.

Imani si uhalisia. Imani ni mambo ya kufikirika tu.

Nikuulize: wewe unajua kuwa wewe upo au una amino kuwa wewe upo?
 
Mimi nipo, unaamini juu ya uwepo wa nguvu
 
Uongo!

Uchawi haupo.

Kila mmoja abaki na imani yake kuwa uchawi haupo kwa mazingira yake. Kama mazingira yako sio ya wachawi au haujawahi kuexperience uchawi basi utakuwa sahihi kusema haupo.

Binafsi nilikuwa naamini uchawi haupo, ila kuna Mambo makuu matatu yalinitokea baadae nikaamini uchawi upo na ili uushinde inabidi uwe na nguvu za Mungu ndani yako.
 
Uchawi haupo!
 
Wewe ndo utakua na shida maana hata vitabu vya dini vimethibitisha uwepo wa uchawi.
Vitabu vya dini havisemi UCHAWI UPO...

Vinasema uchawi ULIKUWEPO!

Yaani hata ndani ya hivyo vitabu, UCHAWI UMEELEZEWA KAMA HISTORIA tu ya matukio ya kale!

Na wala Havisemi wafuasi wa hivyo vitabu WAAMINI UCHAWI!

Wanaoamini uchawi ni WATU WAJINGA TU!!
 
Back
Top Bottom