Pipe dreamProtase Kardinali Rugambwa tayari ametua Vatican kwa ajili ya mchakato wa Papa Mpya. Anatajwa kumrithi Papa Francis. Tunamuombea apeperushe Bendera ya Tanzania Kimataifa.
**Huu ni mwaka wetu Watanganyika [Janabi na punde Rugambwa]
**** Kagera tujipange kwa kuunda kamati ya Maandalizi iliyojaa Wasomi na wafanyabiashara wakubwa tuwe na mapokezi makubwa dunia itutambue.
Sawa dadaPunguza upayukaji soon na wewe utakua Kibwengu
Sio kazi ya papaTunataka Bukoba iwe kama Dubai!!
UmeanzaSawa dada
Of course hata sare tumeshaaandaa!!Protase Kardinali Rugambwa tayari ametua Vatican kwa ajili ya mchakato wa Papa Mpya. Anatajwa kumrithi Papa Francis. Tunamuombea apeperushe Bendera ya Tanzania Kimataifa.
**Huu ni mwaka wetu Watanganyika [Janabi na punde Rugambwa]
**** Kagera tujipange kwa kuunda kamati ya Maandalizi iliyojaa Wasomi na wafanyabiashara wakubwa tuwe na mapokezi makubwa dunia itutambue.
Alright. T-shirt, Vitenge, Senene, Honorary doctorate!Of course hata sare tumeshaaandaa!!
Yaani hayo yote yapo tayari! Si unajua kira kitu kizuri kinaanzia Bukoba?Alright. T-shirt, Vitenge, Senene, Honorary doctorate!
Mkuuu kumbe wewe ni nomaaaa
Kawaid tu mkuu kwa watumiaji wa haya majukwaa Sema sipendelii sana maana unapoteza muda tu
SimbaSC NguvuMoja #UbayaUbwela
Kwa akili fupiโฆ haya Mawazo ni sawaTunataka Bukoba iwe kama Dubai!!
Unaambiwa sare tayari, sahizi wanazipiga Pasi tayari kwakuvaliwa ๐๐๐๐Bukoba inaenda kuongoza dunia
๐ถPapa Mobimba iyee, Papa Mobimba iyeeee, Aiya alobaka sukuma weeee๐ถPapa wemba
Mhuu, hatari sana, hizi imani hizi. Anyway tuwaachie wenyeweanaweza kutajwa kadinali yeyote yule duniani,
but ni vizuri ikafahamika wazi kwamba,
uchaguzi wa Papa ni clashes of visions and battle of soul miongoni mwa makadinali zaidi ya 130 ambao hukutana kwenye cadinal callege huko rome na kuchagua moja wao awe papa,
hakuna kupendekezana au kupigiana kampeni ispokua baada ya maombi ni kupigiana kura tu kadiri roho mtakatifu atakavyomuelekeza kila kadinali
very interesting,Mhuu, hatari sana, hizi imani hizi. Anyway tuwaachie wenyewe
Yupo ameenda acheni ubishi yupo atapigiwa kura na atapiga kura ila alipoharibu huyo kibwengu ni kuleta masuala ya Kagera nyau mmoja