Prove Me Wrong: Kwamba 85% ya wadada wanaopatikana humu JF ni Wabaya Wa Sura adi Maumbo

Prove Me Wrong: Kwamba 85% ya wadada wanaopatikana humu JF ni Wabaya Wa Sura adi Maumbo

Inawezekanaaa ikawa kwl[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
mahondaw wangu...
She is beautiful words wont bring me down... She's got a new addiction for every day and night...
Though we live a crazy life but she takes away all the pain...

Her lips, her eyes, her heart, her attitude her, She took my heart... Once i had a taste of her i have never been the same she made me go insane about her... now am addicted to my mahondaw...

Cc: mahondaw
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu njoo pm unielekeze njia ulizitumia kukutana na hao viumbe wa jf.

mm naamini kukutana na kiumbe cha jf ni ngumu sana sababu ya watu kutumia utambulisho feki.unaeza kuta jina la demu lakini kumbe ni kidume kinatumia jina lakike.ebu nipe makinikia yakukutana na viumbe vya jf.
Hahaha nitakuja kiongozi ni simple sana yan [emoji39]

Sent from my SM-N9200 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha hahah Nimekua nikianguaga kicheko sana nikiona kuwa **** mchizi umu anajitia ujaja akijiongeza kwa watoto wa kike ambao kimsingi huwa sanalinga sana humu kwakuwa tu atuna access ya kuwaona ...

Sasa ndugu zangu mnatakiwa kufahamu kwamba wachina wengi ambao mnawaona umu wakilinga na nyie mkidhini kuwa ni mapini ( wazuri wa kuvutia sura adi shape zao) kuwa Ni wabaya kinoma na pengine ukiwaona unaweza ata ukajichekaa kuwa ni mjinga kwa kuzania kitu ambaeho sio kweli ....

Takwimu zinaonesha 85% ya wasichana ambao wako humu ni WABAYA KICHIZI YANI [emoji12] [emoji15] [emoji15] [emoji16]

JIANGALIE KAMA UNATAFUTA MLEMBO HUMU HAHAH[emoji15] [emoji2]
Daaa jamani mko wapi wakinadada au lisemwalo lipo
 
Kweli yanii tunasura za babu zetu na shepu za simbaa..
 
Anataka watu watume picha zao humu

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Tangu nimekua joined umu mbaka Leo nimekutana na wanawake 22 wa umu jf kati ya awo watatu tu ndio niliwaona wazuri na sio mimi tu maana ninapokutanaga na msicha mgeni uwa naenda na clue yangu ya mtu kama tatu ivi ili kumuua confidence kabisa mlegwa na kama anafaa ndipo tunaacha na clue yangu ile si tunaendelea na shughuri ambayo imetukutanisha ...
Kwa kigezo iko unaweza pata picha kidogo lakin utafit ukufanyika kwa kigezo icho tu vipo vingi ila iko ndicho no1

Note: Nakutanaga nao katika harakati za business na sio kugegedana [emoji2] [emoji2] [emoji2]
our purpose is not to reform the people, our purpose is to save the law.....
 
Ongezea.. "15% ya ladies ya JF ni wanaume"

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app

Back
Top Bottom