babajeska
Senior Member
- Aug 22, 2016
- 148
- 182
- Thread starter
- #21
Sijasema namdhuru mtu, nimesema mama akipoteza maisha nitawapelekea mwili wake ofisini wafurahiPole sana, endelea kukomaa utaipata haki yako. Usitoe uhai wa mtu kisa, utaharibu sio wako tu bali hata wa wengine wanaokutegemea.
Kwanza umeweka namba yako ya PSSSF, kwa maana nyingine unajulikana ni nani, hivyo rahisi kutuhumiwa ikitokea hata mfanyakazi anayekuhudumia akipatwa na mabaya yenye mlengo wa malalamiko yako.
Pole sana. Komaa utafanikiwa tu. Nilichogundua mambo ya nchi hii yanahitaji kuyumia nguvu kubwa. Ukiwa lelemama utapoteza kila kitu