Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Ccm wamefirisi hiyo mifuko, huwezi kuambiwa ukweli ila huo ndio ukweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sanaa mkuu, ni changamotoMimi ni mwanachacha wa mfuko wa psssf namba ya
Haika kaja kujbu na pua zake vent za godaunUkipeleka maiti ndio atafufuka au,ulipokuwa ofisini ukashindwa kupiga dili hata kilimo,ufugaji,hata biashara ,pambana beba zege umtibu bi mkubwa
Kuna baadhi ya mashirika (NGO)wanafanya kazi na serikali kwenye halmashauri hasa upande wa afya. Mfano shirika la Mdh linawafanyakazi kwenye halmashauri na ajira zao ni za mikataba na mwajiri anakuwa Mkurugenzi kama tu ilivyo kwa watumishi wa serikali japo Hilo shirika ndiye mlipaji wa mishahara na stahiki zote za mtumishi husika. ila wao sasa ni kwa mkataba wa mwaka mmoja hadi miwili....... hivyo basi kuna wanaoangukia kwenye fao la kujitoa Psssf kwasbabu wapo private kwa kivuli Cha serikali kwasbabu michango yao inapelekwa mfuko wa Psssf na SI Nssf! Siyo mwandishi mzuri natumai imeelewaka japo kwa uchacheKwani PSSSF sio ajira za serikali za kudumu
Au ulimaanisha NSSF?