The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Kumbe ni vigumu kuwafukuzeni kazi ndiyo maana mnafanya mnavyotaka kwenye hizo afisi mlizokabidhiwa dhamana kama anavyofanya huyo kisirani aika wa PSSSF?Sio mchezo mpaka gavoo wakule kichwa basi utakuwa umezingua parefu.
Pia pole sana mkuu, yaani haki yako ila unapambana kama unatafuta hisani, mbaya sana.
Tendeni haki kila kitu ni wito tendeni kwa huruma hata ikiwa mnataka hela isiwe kipaumbele chenu hela ije baada ya utu mbona kuna wengine ukiwanyooshea mambo yao wanakukunjia kidogo wanakupa?na hata asipokupa siyo dhambi ni chake lakini wewe unakuwa umeshavuna baraka zako.