PSSSF Dodoma mama yangu akifa kwa uzembe wa staff wenu hakika jiandaeni kupokea maiti ofisini

Sijasema namdhuru mtu, nimesema mama akipoteza maisha nitawapelekea mwili wake ofisini wafurahi
 
Nchi ngumu Sana hii yaani hakuna pa afadhali sio waajiriwa wala wafanyabiashara.
Pole Sana mkuu
 
Mimi ni mwanachacha wa mfuko wa psssf namba ya uanachama ni maiti yake mkae nayo ili mioyo yenu ifurahi matokeo ya mateso mnayotupa wanyonge tusio nawatu wakutusimamia.
Daah pole sana mkuu lakinj usifikie hatua hiyo ya kukufuru Mungu ...kikubwa ni kuzidi kuvumilia na kumkabidhi Mwenyezi Mungu hili swala naamini atafanya wepesi...lakini pia hii taarifa naamin kwakua umetumia JF kuwasilisha hili basi wahusika wataliona kwa wakati...
 
Mimi ni mwanachacha wa mfuko wa psssf namba ya ifurahi matokeo ya mateso mnayotupa wanyonge tusio nawatu wakutusimamia.
Daa, hii imeniuma Sana, watumishi wengi wa hii mifuko, ni mabumunda watupu, tena ukikuta wanawake, hovyo kabisa.

Nilienda, nssf Dodoma, kuchek salio, Sina kadi, Ila Nina namba, Dada wa kwanza akaniambia, atanichekia, ili mradi nimuonyeshe kitambulisho kingine chochote nikasema poa, ghafla akaitwa na boss, akamuqmbia mwenzie anihudumie, balaaa!

Huyo mwingine, akaanza lazima niwe na NiDA, au kadi ya mpiga kura,nikamuambia Dada check kitambulisho change(kutoka taasisi nyeti kuliko hata ikulu ya Samia, au TISS) wapi li Dada likagoma, linavuta pua tu!
 
Reactions: K11
Daah haya maisha tunajisahau kama sote tunapita, kuna wanaojigeuza miungu watu kisa yuko ofisi x au ana uhakika wa mboga 3.

Mungu aturehemu na kutujalia hekima, busara na maarifa ya kuenenda katika haki, upendo na utu.
 
Mkuu polee sana ,kiufupi mabank na na taasisi za kiserikali zinazotakiwa kuhudumia wananchi wao hakikaa zimegeukaa mateso mtupuuu..

Niliendaa na b mkubwa crdb kapararazi mikono aiseee ety yule dada mtoa Hela za mwisho anamlazimisha asaini ingali tumebadilishaa kwa mwanasheria kbs awe anasaini Kwa kidole gumba na trtb zt zimefanyika wkt wakutoa Hela yetu dada anagomaa aiseeee na nilitakiwa tupate hyo Hela tuelekee hospital hapo b mkubwa yupo hoi ,,,,aiseeee nilitaman yule dada cjui nimfanyajeee....changamoto n kubwa sana Kwenye taasisi zetu
 
Daah
 
Kwamba unawaambia watu au system
Pole kwa maswahibu. Mungu awasimamie
 
Pole sana mkuu 😢
Kwa kweli karaha tunazopitia kwenye hii nchi, tusipojirekebisha utafika wakati tuanze kulishana "vya moto" kwa sababu ya machungu tunayosababishiana.
 
"Anyways", acha kuiga, "anyway" huwa haina wingi.
 
Kwani PSSSF sio ajira za serikali za kudumu
Au ulimaanisha NSSF?
Use common sense;
●Kazi ya serikali haiwezi kuisha?
●Kwa hiyo na ile form ilitakiwa wa NSSSF?
 
Anyways ndiyo ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…