PSSSF Dodoma mama yangu akifa kwa uzembe wa staff wenu hakika jiandaeni kupokea maiti ofisini

Sio mchezo mpaka gavoo wakule kichwa basi utakuwa umezingua parefu.

Pia pole sana mkuu, yaani haki yako ila unapambana kama unatafuta hisani, mbaya sana.
Kumbe ni vigumu kuwafukuzeni kazi ndiyo maana mnafanya mnavyotaka kwenye hizo afisi mlizokabidhiwa dhamana kama anavyofanya huyo kisirani aika wa PSSSF?

Tendeni haki kila kitu ni wito tendeni kwa huruma hata ikiwa mnataka hela isiwe kipaumbele chenu hela ije baada ya utu mbona kuna wengine ukiwanyooshea mambo yao wanakukunjia kidogo wanakupa?na hata asipokupa siyo dhambi ni chake lakini wewe unakuwa umeshavuna baraka zako.
 
Mkuu hujasoma kuelewa, umesema kwa ajili ya kujibu tu. Pia wengine ajira za serikali mpaka tushakata tamaa, tuna miaka kibao tu tushaomba sana na hatujawahi fanikiwa. Nimeongelea kwa uelewa wangu tu
 
Pole sana.Kamuone makonda(mkuu wa mkoa wa Arusha)Kwa utatuzi wa haraka.
 
Mkuu hujasoma kuelewa, umesema kwa ajili ya kujibu tu. Pia wengine ajira za serikali mpaka tushakata tamaa, tuna miaka kibao tu tushaomba sana na hatujawahi fanikiwa. Nimeongelea kwa uelewa wangu tu
Sawasawa mkuu,imeeleweka.
 
sijasema namdhuru mtu, nimesema mama akipoteza maisha nitawapelekea mwili wake ofisini wafurahi
Ukipeleka maiti ndio atafufuka au,ulipokuwa ofisini ukashindwa kupiga dili hata kilimo,ufugaji,hata biashara ,pambana beba zege umtibu bi mkubwa
 
Huyo Haika utakupa ni walewale zero brain walioingia kazini kwa mbeleko za undungu.
 
Mkuu, ukisubiri haika mtumishi wa Uma ndo amuokoe mama utampoteza.
 
Usipanic. Vuta subira huku ukifuatilia kwa karibu.
 
Mngeomba kuonana na wakubwa wake Kama meneja wa tawi.
 
da pole sana mkuu, nami naandaa mkeka wangu...nida wanazingua mwaka wa pili sasa...nitawaanika wasinisahau maishani mwao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…